mbotoro kivoi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 973
- 1,358
pisi kali ndo habari ya mjiniBado nafasi ipo...gari itajaa pisi kali tu
ila usiombe chombo kisumbue njianiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pisi kali ndo habari ya mjiniBado nafasi ipo...gari itajaa pisi kali tu
Unasikilizia ile sauti ya turbo ikivuta.Na sound ya V6 au V8 power!
unazungumzia benzi aina ganiSema siku hizi kuna intelligent beams.
Hata ukiwasha full, yule anayekuja haumii macho.
Kuna part ya taa zina sense gari yake inazima baadhi ya panels.
Uzuri wa Benzi ipo very stable, ikiwa hata 200kph unaona sawa na anaeendesha 120kph. Ile gari niliitamani sana.
Imachanganya haraka sana. Anaweza kurudi mpaka 50kph na kwenda 220kph in a matter of few seconds.
Napenda gari zenye boxy shape au Squares au ugly appearance kama LC 70s, Benz G wagon, Discovery 3/4.naona wewe ndio umenielewa, nilizungumzia music sound ya L/cruiser tu mlio wake wa engine, Fan na pipe kule nyuma ni raha sana wanyama hawakusogelei
samahani RRONDO nimeingilia mada kwa kuweka biashara ila nilitaka kuelewesha gari ninayoizungumzia ni GX series 200 ni mnyama hasa nachezea 120 km/h km na abiria ila 140 mwenyewe kisahani sigusi kukimaliza lina nguvu sana
cc fabinyo, Bavaria
Duuh AiseWatu wanazifanyia reservations.
Ila unalipa cha juu.
Kuna wakati niliambiwa wengine wanatoa hadi 200K kukuwekea tu namba yako.
Aisee. Unatumia bike gani?Natembea nayo mara kwa mara Dar Mwanza nimeishaenda mara tatu, Asubuhi Dar Jioni Mwanza
Same HereNapenda sana kuzurura najiona nikipambana niingie kwenye Mabus,
Kiukweli hakuna kitu kingine kinachonipa raha ninayoipata nikisafiri,
GLE.unazungumzia benzi aina gani
uku wew ukiendelea ku adjust miguuZitakuwa busy na simu kupiga selfie
apo sawa nkajua econolinerGLE.
Mfano kama nataka namba T 666 EEE basi lazima nimtoe jamaa wa TRA aiweke hiyo namba kwa ajili yangu tu.Duuh Aise
mm yalishanikuta nimempa lift pisi kali kumpandisha mgombani toka DarZitakuwa busy na simu kupiga selfie
Sasa ainame kufanya nini jaman?[emoji23]mm yalishanikuta nimempa lift pisi kali kumpandisha mgombani toka Dar
Timing belt ikakata Makanya, mpaka kuja kugundua ni yenyewe saa nzima pisi niliyempa lift naye kapewa lift na majaamaa mpaka Same, ili wanitumie fundi wa injini kufungua cover waipate camshaft ili niondoke na sample au no. zake
Namkuta pisi keshalewa hatambui lolote eti kaniletee mizigo yangu asepe gari yangu mbovu.
km masaa 8 nikawa barabarani tena saa 2 usiku namkuta Same ni mzigo bora nikawa km wale madereva wa magari ya nyonya choo kweli wavumilivu, usiku nikamfikisha kwao, sitoi lift tena kwa hawa watu, hata pancha hainami?
Wenye Fuso taa zao zile za urembo zinaboa sana usiku inakuwa kama nyumba imepambwa disco light za Christmas. Fuso na mabasi wao mwanzo mwisho wanawasha full light.Somehow wenye malori makubwa nawaona wastaarabu sana. Shida wenye Fuso na mabasi.
Upo vizuri una tumia KTM, BMW,Honda au Kawasaki.Natembea nayo mara kwa mara Dar Mwanza nimeishaenda mara tatu, Asubuhi Dar Jioni Mwanza
Ukiwa na bike kubwa unasafiri vizuri hiyo ni safari ya kawaida.Halafu leo niliwaza hiki kitu nikasema ngoja nitakuja kwenye huu uzi kuuliza? Hivi kumbe inawezekana kufanya road trip kwa pikipiki safari ya masaa hata zaidi ya 12 mfano from Dar to Mbeya and how does it feel?
Sababu hiyo ya pikipiki nahisi mtu ndiyo anaenjoy zaidi! Maana mandhari yako peupe kabisa siyo hadi uchungulie dirishani!
Sijamaanisha pikipiki kufata tochi, naongelea mwenye pikipiki akiongozana na gari ambazo zinatembea Kwa speed limit za 50kph ataongozana nao sambamba kwenye road trip huku akifurahia kutalii bila ya kupush sana pikipiki yake.Yani una pikipiki na unafuata tochi?
Kwenye hamsini nawapitaga... watanikuta mbeleSijamaanisha pikipiki kufata tochi, naongelea mwenye pikipiki akiongozana na gari ambazo zinatembea Kwa speed limit za 50kph ataongozana nao sambamba kwenye road trip huku akifurahia kutalii bila ya kupush sana pikipiki yake.