Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
Upo vizuri una tumia KTM, BMW,Honda au Kawasaki.
Bmw
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo vizuri una tumia KTM, BMW,Honda au Kawasaki.
We unafaa kuwa mchuchu wangu kabisa, unaipenda sound ipi ya 100 series au 200 series?Hizi gari nazikubali sana kuanzia muundo hadi muungurumo wake! Nikipishana nazo barabarani lazima nigeuze shingo aise!
Ni kwenye hizi gari tu ndipo ninapomkubali mjapan! Engine inanguruma kama nini sijui yaani hazijawahi kunitoa ushamba aise!
Wazee wa stolowei vipi? Au unatuchinjia baharini 😁😁😁Bado nafasi ipo...gari itajaa pisi kali tu
Napanga kwenda huko mwezi wa tatu,ikiwa mvua bado hazijanyeshaKuna mshkaji alishapanda na starlet wakati wa mvua.
June kuna baridi Sana na mvua. Mie napendelea December maana baridi ni kiasi na very refreshing. Barabara zinapitika Tu, hakuna lami lakini
Wahuni sio watu 😁😁😁Nafasi zimejaa
Aisee!We unafaa kuwa mchuchu wangu kabisa, unaipenda sound ipi ya 100 series au 200 series?
Mi naikubali zaidi 1HD-FTE ya kwenye 100 series au ile HZ hasa ukute ile straight piped mlio wake ni mzuri kuliko Album zima ya mtoto wa Tandale.
Sawa bana Henessy mnataka mnywe wenyewe tu 😂Mnajijua sana
Dah kuna jamaa alipata ajali mbaya juzi ndio tunamshughulikia Aga Khan pale maana hana muangalizi.Wewe imekuaje hadi leo hujafika kaskazini?
Asant chiefDuh poleni
Poleni na mungu muweza tumuombe ampe afueniDah kuna jamaa alipata ajali mbaya juzi ndio tunamshughulikia Aga Khan pale maana hana muangalizi.
Last year usiku nilikuwa napiga hadi 180kph ila ukipishana na gari huoni mita 10 mbele for few seconds. Usiku hatari sana.
New RR beam unaona 500m. Pia Navara mpya hizi zina taa Kali sana
Mie napenda sana 200 series zenye V8 au V6 engines! Kifupi Toyota ninazozikubali sana ni LC GX V8 na LC Prado TXL!We unafaa kuwa mchuchu wangu kabisa, unaipenda sound ipi ya 100 series au 200 series?
Mi naikubali zaidi 1HD-FTE ya kwenye 100 series au ile HZ hasa ukute ile straight piped mlio wake ni mzuri kuliko Album zima ya mtoto wa Tandale.
Hamna LC yenye 6 kwenye 200 series! Zote ni V8 tofauti inakuja kwenye Trim tu na fuel type.Mie napenda sana 200 series zenye V8 au V6 engines! Kifupi Toyota ninazozikubali sana ni LC GX V8 na LC Prado TXL!
Kausha basi...Umeelewa nn kwanza? 🙇♂️Hahahahaaaa kuuumbe leo nimeelewa.
wengi twazipenda,ila bei yake sasa ndio hatufikiMie napenda sana 200 series zenye V8 au V6 engines! Kifupi Toyota ninazozikubali sana ni LC GX V8 na LC Prado TXL!