Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hizi gari nazikubali sana kuanzia muundo hadi muungurumo wake! Nikipishana nazo barabarani lazima nigeuze shingo aise!

Ni kwenye hizi gari tu ndipo ninapomkubali mjapan! Engine inanguruma kama nini sijui yaani hazijawahi kunitoa ushamba aise!
We unafaa kuwa mchuchu wangu kabisa, unaipenda sound ipi ya 100 series au 200 series?

Mi naikubali zaidi 1HD-FTE ya kwenye 100 series au ile HZ hasa ukute ile straight piped mlio wake ni mzuri kuliko Album zima ya mtoto wa Tandale.
 
Naona tochi zimeanzia hapahapa mjini hivyo mnaotarajia kuanza trip muwe makini na kuwafaidisha hawa jamaa......asb hii nimewakuta njia ya Tegeta kati ya skanska na jkt ( pale kuna kibao cha 60) nafika huku kibada nimewakuta wengine wametega
 
Last year usiku nilikuwa napiga hadi 180kph ila ukipishana na gari huoni mita 10 mbele for few seconds. Usiku hatari sana.
New RR beam unaona 500m. Pia Navara mpya hizi zina taa Kali sana

New RR Beam ndio zinakuwaje mkuu? Usiku unaona mbele mita 500?!!

Ni bulb tu? Ama zinauzwa taa yote complete?

Ama New RR = New Rolls Royce ? 😁

Napenda sana lights kali usiku ili kuwajibu mafuso wenye akili mbovu, wale jamaa wanawasha full muda wote!!
 
We unafaa kuwa mchuchu wangu kabisa, unaipenda sound ipi ya 100 series au 200 series?

Mi naikubali zaidi 1HD-FTE ya kwenye 100 series au ile HZ hasa ukute ile straight piped mlio wake ni mzuri kuliko Album zima ya mtoto wa Tandale.
Mie napenda sana 200 series zenye V8 au V6 engines! Kifupi Toyota ninazozikubali sana ni LC GX V8 na LC Prado TXL!
 
Mie napenda sana 200 series zenye V8 au V6 engines! Kifupi Toyota ninazozikubali sana ni LC GX V8 na LC Prado TXL!
Hamna LC yenye 6 kwenye 200 series! Zote ni V8 tofauti inakuja kwenye Trim tu na fuel type.
GX ni mnyama sana, solid axle mkali wa all-terrain.

Engine ya Diesel ni 1VD-FTV ipo 200 series na kwenye LX 70 series mpya hizi. Engine ya Petrol ni 3UR-FE ama 3UZ hizi zipo kwenye 200 mpaka 100 series.
 
Back
Top Bottom