Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Sema siku hizi kuna intelligent beams.

Hata ukiwasha full, yule anayekuja haumii macho.

Kuna part ya taa zina sense gari yake inazima baadhi ya panels.

Uzuri wa Benzi ipo very stable, ikiwa hata 200kph unaona sawa na anaeendesha 120kph. Ile gari niliitamani sana.

Imachanganya haraka sana. Anaweza kurudi mpaka 50kph na kwenda 220kph in a matter of few seconds.
unazungumzia benzi aina gani
 
naona wewe ndio umenielewa, nilizungumzia music sound ya L/cruiser tu mlio wake wa engine, Fan na pipe kule nyuma ni raha sana wanyama hawakusogelei
samahani RRONDO nimeingilia mada kwa kuweka biashara ila nilitaka kuelewesha gari ninayoizungumzia ni GX series 200 ni mnyama hasa nachezea 120 km/h km na abiria ila 140 mwenyewe kisahani sigusi kukimaliza lina nguvu sana
cc fabinyo, Bavaria
Napenda gari zenye boxy shape au Squares au ugly appearance kama LC 70s, Benz G wagon, Discovery 3/4.

Ila hizo roundish kama LC 200 sizipendi hata kidogo. Ndo maana mpaka leo sijawahi penda Prado au LC 200.

Napenda gari zeye appearance za ajabu ajabu.
 
Zitakuwa busy na simu kupiga selfie
mm yalishanikuta nimempa lift pisi kali kumpandisha mgombani toka Dar
Timing belt ikakata Makanya, mpaka kuja kugundua ni yenyewe saa nzima pisi niliyempa lift naye kapewa lift na majaamaa mpaka Same, ili wanitumie fundi wa injini kufungua cover waipate camshaft ili niondoke na sample au no. zake
Namkuta pisi keshalewa hatambui lolote eti kaniletee mizigo yangu asepe gari yangu mbovu.
km masaa 8 nikawa barabarani tena saa 2 usiku namkuta Same ni mzigo bora nikawa km wale madereva wa magari ya nyonya choo kweli wavumilivu, usiku nikamfikisha kwao, sitoi lift tena kwa hawa watu, hata pancha hainami?
 
Sasa ainame kufanya nini jaman?[emoji23]
 
Halafu leo niliwaza hiki kitu nikasema ngoja nitakuja kwenye huu uzi kuuliza? Hivi kumbe inawezekana kufanya road trip kwa pikipiki safari ya masaa hata zaidi ya 12 mfano from Dar to Mbeya and how does it feel?

Sababu hiyo ya pikipiki nahisi mtu ndiyo anaenjoy zaidi! Maana mandhari yako peupe kabisa siyo hadi uchungulie dirishani!
Ukiwa na bike kubwa unasafiri vizuri hiyo ni safari ya kawaida.
Kwangu Mimi route ngumu ya kutumia bike ni Dar-Moro-Iringa-Njombe-Songea.
 
Back
Top Bottom