RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
- Thread starter
- #541
Mimi naogopa sana hio kitu. Nimegundua ina addictionIk
ikitokea, itakuwa imepangwa na Mungu, Nimeanza kutumia hizi machine ya mkoloni tangu 1998, Sijapata nazo ajali, na naivuta mpaka 240kph kwenye barabara ninayo-ielewa vizuri.