Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hivi ulifanikiwa kuipita hiyo vx CRA kwelii maana ulikuwa unamkimbiza[emoji23][emoji23]
Jamaa nimeongozana naye mpaka dumila mizani akaingia kuchomba dawa nikatembea. Napenda kuwafuata nyuma, askari hawanizingui wanajua tuko pamoja.

Leo nimeongozana na VX V8 tatu. Mmoja tumeanza Ihumwa mpaka Kibaigwa, huyu alikuwa anatembelea 180.

Wa pili hana mwendo alikuwa anatembelea 150 nikaenda naye mpaka Kiyegeya pale sokoni akasimama kununua mazaga nikasepa.

Watatu ndiye uliyenikuta naye. Akitoa natoa mpaka Dumila
 
[emoji23][emoji23][emoji23] umefika wapi now
 
Asante mkuu shukuran sana nitakuwa mwangalifu sana mdomdo natoka Mbeya (full tanks)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…