Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Maelezo yamejitosheleza na ahsante.....nitakwenda kutembelea ziwa Rukwa kutokea Dar via Mboka ,Mpanda -Swax nikitoka ziwani ndo nitarudia kwa swax via Uvinza to Kigoma na nahisi ni njia fupi kuliko kwenda ziwani kupitia Mbeya
 

Chogo-Handen

Kuna watoto wakali mchanganyiko Somali na wazigua

Ningekuwa kidume leo ningelala hapo[emoji28][emoji28]

Ila nimeshangaa mpaka karne hii kuna maeneo hayana shule kabisa na watoto wanakuwa bila kujua kusoma wala kuandika
 
Huku nitatembelea nikienda Korogwe. Kuna siku tulitoka na pikipiki korogwe uelekeo Handeni tukaishia Kwa Matuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…