mwendazake-ndago
Member
- May 26, 2021
- 96
- 723
HAHAHHAHAHHAHAHA NIMECHEKA SANAPigeni hata kapicha mtuwekee tuwaone...
Wana Jf kukutana live si kazi rahisi...ukizingatia fake ID [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HAHAHHAHAHHAHAHA NIMECHEKA SANAPigeni hata kapicha mtuwekee tuwaone...
Wana Jf kukutana live si kazi rahisi...ukizingatia fake ID [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Yeah kulingana ma render niliompa ya nachotaka itahitaji muda na pesa. Hopefully August tutaanza projectNi kweli gharama huwa kubwa. Inabidi uwe na passion. Ila ni project ya muda mrefu.
ukishusha kutoka UDOM (Chimwaga) kuelekea Mjini (Jiji)Hilo eneo linavutia sana
Maelezo yamejitosheleza na ahsante.....nitakwenda kutembelea ziwa Rukwa kutokea Dar via Mboka ,Mpanda -Swax nikitoka ziwani ndo nitarudia kwa swax via Uvinza to Kigoma na nahisi ni njia fupi kuliko kwenda ziwani kupitia MbeyaHapana huwezi kufika Kigoma moja kwa moja labda kwa kuongeza kilomita kadhaa za mzunguko na njia si rafiki sana labda upitie njia kuu ya Tunduma - Sumbawanga - Mpanda - Kigoma.
Ni njia ya kutoka barabara kuu Sumbawanga - Mpanda unachepukia somewhere NKUNDI / NTENDO kuelekea Ziwa Rukwa. Huko ziwani ama ukanda wa ziwani ndipo panaitwa BONDENI.
Bondeni kwa sababu kuna tofauti kubwa ya altitude na Sumbawanga mjini na Ziwani, Imagine Sumbawanga mjini nyuzi joto 17 za celcius ni kawaida tu lakini Bondeni una experience nyuzi joto hadi 35 centigrade (celcius)
Amazing fact:
Ukiwa nje ya mkoa wa Rukwa, Sumbawanga ndio Rukwa, lakini ukifika Sumbawanga mjini BONDENI ndiyo huutwa Rukwa! Actual ziwa Rukwa lipo huko bondeni.
Rejea picha nilizoweka (kwa hisani ya google) , Muse = Muze.
Kutokea Mbeya kwenda Kigoma kupitia Mkoa wa Rukwa kuna njia kadhaa zikiwemo:-
1. Mbeya - Chunya - Inyonga - Mpanda - Uvinza - Kigoma
2. Mbeya - Chunya - Innyonga - Majimoto - Mpanda - Uvinza - Kigoma
3. Mbeya - Mlowo (Songwe) - Muze - Ntendo - Namanyele - Mpanda - Uvinza - Kigoma
4. Mbeya - Mlowo (Songwe) - Muze - Majimoto - Kibaoni (Stalike) - Mpanda - Uvinza - Kigoma
5. Mbeya - Tunduma - Sumbawanga - Mpanda - Uvinza - Kigoma (hii ndiyo njia kuu.
Karibu utembelee kanda za huko, kuna mengi ya kujifunza, ikiwemo neno "ahsante" kama sehemu ya salamu.
_____
Asanteeeee!View attachment 1824624View attachment 1824625View attachment 1824626View attachment 1824627View attachment 1824628
Mkuu Hornet ndo nipo ifakara nw
Mungu ni mwema kwa kukufikisha salamaNimepata usafir chap.nw nipo dom.
Hio Picha ya juu ninatokea dodoma kuelekea singida hapo ni karibia na mitaa ya SUKAMAHELAHapo pics ya Kwanza panafanania Na milima ya Apo Tinde kuelekea Shy
Mchanga wa kutosha na mitoKisiriri kuna mchanga balaa
Huku nitatembelea nikienda Korogwe. Kuna siku tulitoka na pikipiki korogwe uelekeo Handeni tukaishia Kwa Matuku.View attachment 1824969
Chogo-Handen
Kuna watoto wakali mchanganyiko Somali na wazigua
Ningekuwa kidume leo ningelala hapo[emoji28][emoji28]
Ila nimeshangaa mpaka karne hii kuna maeneo hayana shule kabisa na watoto wanakuwa bila kujua kusoma wala kuandika
Huku nitatembelea nikienda Korogwe. Kuna siku tulitoka na pikipiki korogwe uelekeo Handeni tukaishia Kwa Matuku.
Mchanga wa kutosha na mito