Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mhh !!!!?kwa afya sio njema ila hongera koz u made it safely,ila bikers huwa mna roho ngumu sijui mnazitoaga wapi 😀😀😀
mkuu lazima uwe mavazi yake rasmi ambayo thamani yake unanunua Boxer ya mhindi (Helmet, SURUALI, Jacket, Kiatu, na Gloves). Halafu hizo speed wanafaidi waliopo mikoani ambako kuna traffic ndogo sio kwamba tunakimbia hovyohovyo kama bodaboda
 
Ndani ya Kimbinyiko kwa safari hiyo nikipanda Bus huwa natereza na Ngasere bus
Ngasere sijawahi kuipenda ..kuna kipindi walituchezea mchezo mchafu, sitaki hata kuisikia.

Nina mahaba na Shabiby ila last time walinikera, wanapakia vituo vingi kama daladala,safari ikawa ndefu na tukachelewa kufika.

Kimbinyiko siihusudu sana ila kiuhalisia ni gari nzuri sana kuanzia Kwenye customer care na ubora wa gari.
 
kanjia katamu kuna bus zilikuwa zinatokea singida - kiomboi zinapita ile njia zinapakia balaa

watu wengi hawaifahamu ila nayo ni salama kiangazi ukipita masika unaweza ukakwama
 
Point saved kwa matumizi yajayo.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…