mtongwe
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,652
- 4,468
Ndani ya Kimbinyiko kwa safari hiyo nikipanda Bus huwa natereza na Ngasere bus[emoji2956]Nimetoka Dom.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndani ya Kimbinyiko kwa safari hiyo nikipanda Bus huwa natereza na Ngasere bus[emoji2956]Nimetoka Dom.
KWETU PAZURIMvua zikinyesha kule usipeleke gari
Katika sehemu ninayoipenda Iramba ni Ndago Ardhi yake ni nzuri mnoo
Pazuri sana kwenye kilimondio nyumbani pale Ndago.
Naenda Jiji la kijani kuliko yote.Wapi hio now?
napajua kule kuku na mbuzi wa kumwagausikute wewe ndugu yangu kama umefika mpaka ndago nyumbani kabisa. wewe noma mwezi ujao nitakuwa pale kijijini week mmoja na kula kuku wa kienyeji siunjaua kule jogoo hilo elfu sita au saba
mkuu lazima uwe mavazi yake rasmi ambayo thamani yake unanunua Boxer ya mhindi (Helmet, SURUALI, Jacket, Kiatu, na Gloves). Halafu hizo speed wanafaidi waliopo mikoani ambako kuna traffic ndogo sio kwamba tunakimbia hovyohovyo kama bodabodaMhh !!!!?kwa afya sio njema ila hongera koz u made it safely,ila bikers huwa mna roho ngumu sijui mnazitoaga wapi 😀😀😀
Ngasere sijawahi kuipenda ..kuna kipindi walituchezea mchezo mchafu, sitaki hata kuisikia.Ndani ya Kimbinyiko kwa safari hiyo nikipanda Bus huwa natereza na Ngasere bus
napajua kule kuku na mbuzi wa kumwaga
mayai ya kienyeji maziwa ya kienyeji ya kutosha
asali ndo usiseme
poa nitakuchek piaNIKIFIKA KULE HUWA NI KUKU TU KUANZIA BREAKFAST MPAKA DINNER KILA SIKU MPAKA NARUDI DAR. MBUZI ELFU 25 MZIMA BANDANI. KWA WALE WA MDUDU ELFU 40 MZIMA BANDANI UNAJIPIMIA TU. KARIBU SANA HORNET SIKU NIKIWA MITAA ILE UWE UNANICHEKI NI INBOX.
Na nikifika kule kwetu kabisa Milima imesimama.Yeaaaah kanda ya home, milima na mabonde yanasadifu vilivyo.
[emoji4]Ooooooh hapo sasa wee zurura uwezavyo yaan.
Mvua zikinyesha kule usipeleke gari
Katika sehemu ninayoipenda Iramba ni Ndago Ardhi yake ni nzuri mnoo
kanjia katamu kuna bus zilikuwa zinatokea singida - kiomboi zinapita ile njia zinapakia balaaUKIWA UNATOKA SINGIDA MJINI KUELEKEA MWANZA KUNA ILE OIL COM PALE KUSHOTO NJIA YA KWENDA NDAGO. NI BONGE LA SHORTCUT UKIPITA PALE UNATOKEA KIZAGA KARIBIA NA MISIGIRI. NA UKIFIKA MISIGIRI TAYARI UMEFIKA SEKENKE. MAANA UKIZUNGUKA NI PAREFU SANA. NA KAMA UNATOKEA MISIGIRI KUELEKEA SINGIDA MJINI KUNA KIBAO CHA KIZAGA UNAKUNJA KULIA KUINGIA NDAGO UNATOKEZEA SINGIDA MJINI UNAKUWA UMESAVE KAMA KILOMETRE 70
Enzi ya crown hio. ilikuwa inapatashida na misukosuko.
View attachment 1825286
Point saved kwa matumizi yajayo.......UKIWA UNATOKA SINGIDA MJINI KUELEKEA MWANZA KUNA ILE OIL COM PALE KUSHOTO NJIA YA KWENDA NDAGO. NI BONGE LA SHORTCUT UKIPITA PALE UNATOKEA KIZAGA KARIBIA NA MISIGIRI. NA UKIFIKA MISIGIRI TAYARI UMEFIKA SEKENKE. MAANA UKIZUNGUKA NI PAREFU SANA. NA KAMA UNATOKEA MISIGIRI KUELEKEA SINGIDA MJINI KUNA KIBAO CHA KIZAGA UNAKUNJA KULIA KUINGIA NDAGO UNATOKEZEA SINGIDA MJINI UNAKUWA UMESAVE KAMA KILOMETRE 70
Enzi ya crown hio. ilikuwa inapatashida na misukosuko.
View attachment 1825286
Mbeya eeeeh.Naenda Jiji la kijani kuliko yote.
Najivunia sana kutokea kanda yenye kila aina ya baraka. [emoji7][emoji7][emoji7]Na nikifika kule kwetu kabisa Milima imesimama.
Kabisa kabisa yaan.[emoji4]
Maisha yanatuzungusha.
Siku hizi iko fresh wameweka lami asilimia 40 mbele pamechongwa fresh kabisakanjia katamu kuna bus zilikuwa zinatokea singida - kiomboi zinapita ile njia zinapakia balaa
watu wengi hawaifahamu ila nayo ni salama kiangazi ukipita masika unaweza ukakwama
Hapa Saint Anne ulikuwa unateremka Ipogoro. Bahati mbaya Ila ungeshuka Iringa tupate hata kahawa Neema cafe.Kuna picha zenye ukijani zimegoma ku upload ..naona sababu ya mtandao kuyumba njiani.
Ngoja niweke hizi za Iringa.View attachment 1825230View attachment 1825231View attachment 1825234
kanjia katamu kuna bus zilikuwa zinatokea singida - kiomboi zinapita ile njia zinapakia balaa
watu wengi hawaifahamu ila nayo ni salama kiangazi ukipita masika unaweza ukakwama