Kwa Mimi huwa napendelea pale baba nusa restaurant au kuna ule mgahawa kwa chini pale pembeni ya soko huwa kumekucha kimtindoHapa Saint Anne ulikuwa unateremka Ipogoro. Bahati mbaya Ila ungeshuka Iringa tupate hata kahawa Neema cafe.
Oh nimepanda bus ya moja kwa moja boss.Hapa Saint Anne ulikuwa unateremka Ipogoro. Bahati mbaya Ila ungeshuka Iringa tupate hata kahawa Neema cafe.
Hahaha ina maana hii ngoma mpaka December huko! Tuangalie February Next yearMkuu June inaisha bado tunahangaika na DW.,
HongeraNanenane hadi skuu siyo kwa jam ile[emoji856]
Nimemaliza trip yangu.View attachment 1825566View attachment 1825567View attachment 1825568View attachment 1825569
Hahahah kila mtu anataka akavimbe na mtambo wa kijapani😅Mwisho wa mwaka namba zinakimbia sana. Ndugu zako kila mtu anataka aende na mkoko wake!
RRONDO hivi na sisi wa trip za daladala tunaruhusiwa kuweka picha?Hongera
Road trip ni road trip tu...iwe kwa bus,au private carRRONDO hivi na sisi wa trip za daladala tunaruhusiwa kuweka picha?
Au uzi hautuhusu[emoji38]?View attachment 1825608View attachment 1825610View attachment 1825611View attachment 1825612
From Bagamoyo where to then?View attachment 1825631Bagamoyo kupata supu ya pwenza mara moja
From Bagamoyo where to then?
+1,Naongeza mwaka mwingine nikiwa road.
Trip yangu ni nzuri .
UMENIBARIKI Mungu [emoji3059][emoji120]
Hbd to me .
Nyang'oro,U_turn za kutosha hadi raha gari inavyokunja hizi kona.View attachment 1825175View attachment 1825177View attachment 1825178View attachment 1825179
Sisi sio wanyongeVX huwa tunavimbiana sana [emoji3][emoji3][emoji3]. Kuna mmoja anikinukisha, nikawa nacheza nyuma yake kumuonesha kwamba hamna kitu, nilicheza nae hivyo kama km 100.. nilipokiwasha mie hakuonjona tena alikaribu chini juu kunitafuta akafa fail kabisa, akanikuta nimepataki gari pale kibagaigwa, ikabidi ashuke tupige story mbili tatu [emoji3][emoji3][emoji3]
Inshallah mkuuMungu akipenda leo jioni jioni naanza safar kutoka ifakara kwenda dom.ni mwendo wa kuvizia magari ya mizigo au private.tusio na gari tunashida sana!
Happy Birthday Boss+1,Naongeza mwaka mwingine nikiwa road.
Trip yangu ni nzuri .
UMENIBARIKI Mungu [emoji3059][emoji120]
Hbd to me .
Nyang'oro,U_turn za kutosha hadi raha gari inavyokunja hizi kona.View attachment 1825175View attachment 1825177View attachment 1825178View attachment 1825179
Mkuu! Salud!View attachment 1825181after service, testing my beemer, with one hand taking video. hizo zinazosomeka juu ni MPH na chini KPH
Happy Birthday.
-Kaveli-