mtongwe
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,652
- 4,468
Kwa Mimi huwa napendelea pale baba nusa restaurant au kuna ule mgahawa kwa chini pale pembeni ya soko huwa kumekucha kimtindoHapa Saint Anne ulikuwa unateremka Ipogoro. Bahati mbaya Ila ungeshuka Iringa tupate hata kahawa Neema cafe.