Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Nadhani ulitaka kumaanisha RRONDO hizo double R zinazingua wengi...
Binafsi mwaka jana mwishoni ndiyo nimegundua ni RR na si PR..[emoji119][emoji3][emoji3][emoji119]
Hii ID imetusumbua wengi sana kumbe!
Mimi kila nikimtag nakuta tag inagoma, Dah nimekuja kugundua baadaye sana,tena kupitia uzi wake alioanzisha.

Brother RRONDO fanya ubadilishe jina ujiite tu PRONDO.
 
Hii ID imetusumbua wengi sana kumbe!
Mimi kila nikimtag nakuta tag inagoma, Dah nimekuja kugundua baadaye sana,tena kupitia uzi wake alioanzisha.

Brother RRONDO fanya ubadilishe jina ujiite tu PRONDO.
Inabidi nivae mawani kumbe anaitwa RRONDO na siyo PRONDO,BOEING akajaribu kunielewesha nilivyo na kichwa kigumu hata sikumuelewa.
 
Inabidi nivae mawani kumbe anaitwa RRONDO na siyo PRONDO,BOEING akajaribu kunielewesha nilivyo na kichwa kigumu hata sikumuelewa.
[emoji38]
Siyo wewe pekeyako.. hili jina hata mimi lilinisumbua Sana,kwanza nikajua amelock jina lake tusimtag,kila nikimtag wapi inagoma..kumbe mwenye shida ni mimi niliyekosea jina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…