Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Yaani hata kulinadi zoom au hapa linasumbua, Kadi inapishana sana na Body na mwaka lilipoingia naogopa hata kuweka specification zote, km ni dharura linakodishwa bei safi hata kwa mwezi, naona atapunguza maana miaka inaenda, zima kabisa
ina maana linaozea uwani hapo jamaa haendeshi hata kidogp
 
ina maana linaozea uwani hapo jamaa haendeshi hata kidogp

huku bei ni masikilizano km wanakulengesha, hilo lilishaondoka
Dar kinachowaharibu Madalali wakidaka gari wanaweka 5m kabisa, wangeweza kubadili Kadi km zile za Serikali kurudi Uraia wangeuza 25m
sasa mtu hasumbuki na sisi nambaA, B au C tunashindana kabisa na kina RRONDO barabarani waliowapa lift ving'ast
 
Hizi gari nazikubali sana kuanzia muundo hadi muungurumo wake! Nikipishana nazo barabarani lazima nigeuze shingo aise!

Ni kwenye hizi gari tu ndipo ninapomkubali mjapan! Engine inanguruma kama nini sijui yaani hazijawahi kunitoa ushamba aise!
 
Hahahahah gari zuri sana hilo...Madalali ndio mabwege wanafelisha sana biashara
 
Kuna jamaa watatu walikuwa na mabike yae makubwa tukaamsha nao Dar-Dodoma

Nilitamani nishuke kwenye gari nikawaombe lift
 
Last year usiku nilikuwa napiga hadi 180kph ila ukipishana na gari huoni mita 10 mbele for few seconds. Usiku hatari sana.
New RR beam unaona 500m. Pia Navara mpya hizi zina taa Kali sana
Sema siku hizi kuna intelligent beams.

Hata ukiwasha full, yule anayekuja haumii macho.

Kuna part ya taa zina sense gari yake inazima baadhi ya panels.

Uzuri wa Benzi ipo very stable, ikiwa hata 200kph unaona sawa na anaeendesha 120kph. Ile gari niliitamani sana.

Imachanganya haraka sana. Anaweza kurudi mpaka 50kph na kwenda 220kph in a matter of few seconds.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…