Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
ina maana linaozea uwani hapo jamaa haendeshi hata kidogpYaani hata kulinadi zoom au hapa linasumbua, Kadi inapishana sana na Body na mwaka lilipoingia naogopa hata kuweka specification zote, km ni dharura linakodishwa bei safi hata kwa mwezi, naona atapunguza maana miaka inaenda, zima kabisa