Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mara ya mwisho niliiacha mbaya ila sahivi wana mpango wa kujenga lami inayotokea bagamoyo na kukatisha sadani, kipumbwi, pangani mpaka tanga.

Nna mpango wa kurudi tena mwezi wa 8.
Njia ya Bagamoyo-Saadani-Kipumbwi-Pangani siyo nzuri Sana baada mvua za mwaka jana. Kwa uhai wa Sedan haifai hata cross sport SUV.

Bora mtu aende mpaka Muheza kisha akatishe njia ya Madanga aingie Pangani hii ni short cut ingawa kutoka Muheza mpaka Pangani ni vumbi. Au aende mpaka Tanga mjini kisha Pangani.
 
Haya ndio mambo umbali wa km30 unatembea masaa mawili!
 
Pale Pongwe nako kuna njia ya kukatisha inapita Malanzara mpaka Kirare. Ni fupi kiasi.

Huna haja ya kuingia mpaka mjini.
 
Ndo maaana na yake ilikuja na container ah ah ah mkuu wasiwasi wa kwamba kilometre zilichezewa unazidi kua juu teh teh(😂😂😂)
Naomba yeyote anijibu
Je electrical dash zinaweza kuchezewa kama hizi kwenye premio zetu maan ile ya pale nmeona electrical kwenye hilo dinga
 
Swali la mwisho mkubwa
Je chrysler na crown kwa ndani kimuonekano lipi unalipa go ahead
Comfortability je

Najua kama chrysler ulitamba nalo basi
Crown ndege ya chini huwezi ukawa hujaipanda au kuitest 😂😂😂😂
 
Kile kituta kikali kama mnazi ama mstimu umelazwa [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…