Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Muombe Mungu akuepushe na kikombe Cha ulemavu.Sasa ulemavu ninaouogopa mimi ni ule wa kiungo fulani cha mwili kutoka au kuharibika
....
Hizi ndoa sometimes unapata mtu anamkosea mwenzie kwa makusudi kabisa akijua lazima tu atasamehewa na mbaya zaidi unakuta anajihalalishia kufanya makosa na anataka mwenzie amvumilie
As time goes on najipata nagundua kuwa ndoa/mahusiano havipo kwa ajili ya kila anayekuja duniani hivyo wengine tumeamua kuchagua kuishi maisha yetu na kufanya mambo mengine tu
....
Tatizo ile njia ya kwenye daraja huwa ina foleni sana na mara nyingi kinachosababisha zile foleni ni ile migari ya mizigo inayotoka bandarini wallahi unaweza ukalaani
Mimi mara nyingi huwa natumia vivuko tena natamani hata vingekuwa vinazunguka kwanza ile peninsula yote halafu ndiyo vinarudi kupark kivukoni basi tu ili mradi safari iwe ndefu
Mungu mwenyewe anajua namna ya kumnyoosha mtu anayemtendea mabaya mwenza wake.
Yaani ukiwa fair kwa mtu halafu yeye anakukosea akitegemea tu asamehewe basi jua Mungu atamnyoosha tu.
Mungu ni wa haki sana,hawezi acha uteseke bure.
[emoji23]Ndoa ni kwa ajili ya watu wote japo siyo lazima ila ni muhimu.
Naona unayaongea haya pia kwa sababu ya umri[emoji23]bado mdogo.
Kumbe daraja lina foleni!,kwani hairuhisiwi sisi watembea kwa mguu tukatembea tu kwa mguu??
Basi kigamboni nitaendelea kuiona kwenye TV.
Yaani unatamani kivuko kijizungushe tu ili mradi Safari iwe ndefu!?!!!tena kwenye maji[emoji134]!
Mimi safari ikishaanza kuwa ndefu najihisi naugua njiani.
Juzi Kati hapa gari niliyokuja nayo ilikuwa inatembea utadhani daladala ya skuu-uyole..,nikajisemea moyoni yaani hapa hadi ichanganye ifike basi cha moto nitakuwa nimekiona.