Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Tutashukuru tukipata mrejesho wenye majibu, ila mie issue ilianza tyre moja ya nyuma kushoto. Ila japo nilibadirisha na kuweka zote mpya kameendelea kuwepo
 
Na tuseme amen

....

Hahaa young lady please spare me the marriage lectures

....

Kwahiyo hata kwa swimming pool hauwezi ingia
 
Na tuseme amen

....

Hahaa young lady please spare me the marriage lectures

....

Kwahiyo hata kwa swimming pool hauwezi ingia
Amen[emoji120]


Unajua mimi nakusubiri wewe ufungue mlango kwa kuanza kuolewa.
Tule ubwabwa wa mchele wa huku kwetu Mbeya.
Nitaendelea tu kukuhubiria kuhusu ndoa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani unaongelea swimming pool tena!?!
Mimi huyu nijidumbukize kwenye maji???
Kuelea tu kwenye meli au mtumbwi nimeshindwa...itakuwa kudumbukia kabisa kucheza na maji?
Yaani hata nipewe ofa na hela juu,kuogelea siwezi kujaribu.

Kuna vitu nilishakubali tu kuwa vitanipita maishani..kimojawapo ni kuogelea +pombe.,
Japo pombe nataka nijaribu,nasikia inaondoa mawazo .
 
Teh teh kwani haujui kuwa africa mkubwa ndiyo hutangulia kuolewa sasa sijui ni milango ipi hiyo unayotaka nikufungulie? By the way hakuna kinachoweza kubadili mtazamo wangu kuhusu ndoa!

....

Kuhusu pombe sikushauri! Lakini kama unatamani sana kujaribu na hakuna kinachoweza kukuzuia basi kwa kifupi naomba niseme tu welcome to the club!

....

Nje ya mada! Mie nisharudi dar kwahiyo ndiyo umegoma kuja kunitembelea?
 
Yaani nina tatizo la kukosa hela unataka niongeze na tatizo jingine la ndoa??[emoji23]
Mwisho matatizo yaniue!!
Nikishapata hela labda nitafikiria kuolewa.

Ndoa ni nzuri tu,na ndiyo maana Mungu akaiweka.

Pombe nataka nijaribu ili nipunguze mawazo,ila bahati mbaya kila mlevi ninayemuuliza pombe nzuri kwa mimi kuanzia nayo,hataki kunielekeza..
Hadi mchumba wangu wa selfika amekataa kabisa [emoji23],anasema hataki kubeba dhambi.
Bora unielekeze wewe rafiki yangu.

Mweeee Yaani nije nikutembelee unataka nipotee??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naijua sehemu nilipofikia tu..huko kwingine ni kutaka kunipoteza mjini hapa.
 
Hahaha ndoa ni nzuri ndiyo ila kumbuka siyo kila kizuri kilichowekwa na Mungu basi ni lazima kila binadamu akipate! Kumbuka hata vitu kama utajiri ni mzuri na Mungu kauweka lakini siyo kila mtu anaupata!

....

Kwahiyo huo mzigo wa dhambi ndiyo unataka unibebeshe mimi! Pombe zinapoteza mawazo temporarily tu lakini kwa wewe nakushauri tumia zile wine nyepesi nyepesi tu hizi vitu kama beer ama whisky ama spirit achana nazo kabisa!

....

Sasa kwani umeambiwa unakuja kibubububu mama? Si unaelekezwa kuanzia unapotoka hadi unapotakiwa kufika?
 
Ndoa ni nzuri kwa wote tu.
Utajiri ni namna tu mtu anautafuta,
Wengine tunashindwa tu kuupata labda kwa sababu hatujajua Siri ya kuupata ama wakati wetu bado..
Mungu anamuwazia mema kila mtu.

Dhambi nitabeba mwenyewe maana nilishaamua mwenyewe kujaribu.
Hata Kama inapunguza mawazo kwa muda kidogo inafaa Sana,,yatapungua kwa muda kuliko muda wote niwe na mawazo.


Ngoja nikuelekeze nilipo,ukipata muda uje,lakini kwamba mimi nije ni uongo[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbeya tu nilishawahi potea njia ya nyumbani,itakuwa huku Dar???
Yaani serious nikitoka hapa napotea..sitanii.
 
Saint anne/ Altar wine is the best.
Au Smirnoff black ice, very sweet.
Oh Asante Sana Depal[emoji4][emoji120]

Nitajaribu Saint Anna iliyo na jina langu nione namna gani kulewa kunakuwa na nione ladha ya pombe.

Nje ya mada;
Nywele zako kwenye avatar umetengenezaje(umepaka Nini)
Nimezipenda.
 
Nyie binadamu nani kawaambia pombe inapunguza mawazo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…