Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Hata mimi sijawahi kunywa pombe.Toka nimezaliwa sijawai weka pombe kinywani mwangu.. na huu umri wangu naona ndio imetoka hiyo
Pombe haijatengezwa kuondoa mawazo mkuu. Ndio maana nasema hivyo. Mawazo huondolewa na wewe kukubalina na vinavyokupa mawazo either in -ve au +ve. Nimeona wengi wanakunywa pombe kwa kufikiria ivyo na mwisho wa siku wameharibikiwa zaidi, na wapo wanaotumia pia hawa haribikiwi.. so ina matokeo mawili.. safari njema ya uanzaji wa kupiga masangaHata mimi sijawahi kunywa pombe.
Ila wanaokunywa wanasema inapunguza mawazo..
Wewe kwanini hudhani kama pombe inapunguza mawazo ili hali hujawahi kuonja?
Wameharibikiwa kivipi boss??..Pombe haijatengezwa kuondoa mawazo mkuu. Ndio maana nasema hivyo. Mawazo huondolewa na wewe kukubalina na vinavyokupa mawazo either in -ve au +ve. Nimeona wengi wanakunywa pombe kwa kufikiria ivyo na mwisho wa siku wameharibikiwa zaidi, na wapo wanaotumia pia hawa haribikiwi.. so ina matokeo mawili.. safari njema ya uanzaji wa kupiga masanga
Pombe sio dawa ya mawazo mkuu..Wameharibikiwa kivipi boss??..
Na hao ambao hawajaharibikiwa wapoje??
Kwahiyo si kweli kwamba pombe inapunguza mawazo??
Pombe ilitengenezwa kwa kusudi gani??.
Ati safari njema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bro[emoji23].
Teh teh wewe unasemea umri wakati mwenzio kadiri miaka inavyozidi kuenda ndivyo ninavyozidi kujua ni kwa kiasi gani sihitaji ndoa! Wakati niko chuo hadi namaliza mawazo yangu yalikuwa kutafuta pesa, kusafiri, kuolewa na kuwa na happy family!Ndoa ni nzuri kwa wote tu.
Utajiri ni namna tu mtu anautafuta,
Wengine tunashindwa tu kuupata labda kwa sababu hatujajua Siri ya kuupata ama wakati wetu bado..
Mungu anamuwazia mema kila mtu.
Dhambi nitabeba mwenyewe maana nilishaamua mwenyewe kujaribu.
Hata Kama inapunguza mawazo kwa muda kidogo inafaa Sana,,yatapungua kwa muda kuliko muda wote niwe na mawazo.
Ngoja nikuelekeze nilipo,ukipata muda uje,lakini kwamba mimi nije ni uongo[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbeya tu nilishawahi potea njia ya nyumbani,itakuwa huku Dar???
Yaani serious nikitoka hapa napotea..sitanii.
Yeah duniani kuna makundi mawili tu ya watumiaji pombe kuna walevi na wanywaji! Wale wanaoharibikiwa ndiyo walevi ila wale wasioharibikiwa na wanaokunywa kwa nidhamu ni wanywaji tu!Pombe haijatengezwa kuondoa mawazo mkuu. Ndio maana nasema hivyo. Mawazo huondolewa na wewe kukubalina na vinavyokupa mawazo either in -ve au +ve. Nimeona wengi wanakunywa pombe kwa kufikiria ivyo na mwisho wa siku wameharibikiwa zaidi, na wapo wanaotumia pia hawa haribikiwi.. so ina matokeo mawili.. safari njema ya uanzaji wa kupiga masanga
🥲🥲🥲 mnione niwape utamu ndoa.. achaneni na hiyo misimamo aseeeTeh teh wewe unasemea umri wakati mwenzio kadiri miaka inavyozidi kuenda ndivyo ninavyozidi kujua ni kwa kiasi gani sihitaji ndoa! Wakati niko chuo hadi namaliza mawazo yangu yalikuwa kutafuta pesa, kusafiri, kuolewa na kuwa na happy family!
Ila ninavyozidi kukuwa ndivyo ninavyozidi kugundua kuwa those were just fantasies na ndoa ain't a bed of roses as y'all say or think! Na wakati mnaongelea masuala ya umri kuna wanawake wako 30 and above na wana mtazamo kama huu wa kwangu ni solo riders na they are successful and happy with their life!
Na kama ni kweli kuwa eti upweke ni stress kama mnavyosema basi mimi niko tayari kuzikabili stress za upweke kuliko stress za ndoa! Mwisho wa siku maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua kila binadamu ana haki ya kuchagua analoliona jema ama baya kwake ili mradi tu asimdhuru mtu yeyote wala asivunje sheria za nchi husika!
DahPombe sio dawa ya mawazo mkuu..
Kila la kheri chapa mambo ma desprado ma k vant henesi john walker savanah kama yote.. huenda zinatibu mawazo
Hiyo taa ya chini kushoto ni ya nini?Hapa inanusa tu kama IST
View attachment 1841879
Ukitumia kiasi pasipo ku athari chochote, katika mfumo wa afya yako na akili zako, inakuwa good for youYeah duniani kuna makundi mawili tu ya watumiaji pombe kuna walevi na wanywaji! Wale wanaoharibikiwa ndiyo walevi ila wale wasioharibikiwa na wanaokunywa kwa nidhamu ni wanywaji tu!
DahPombe sio dawa ya mawazo mkuu..
Kila la kheri chapa mambo ma desprado ma k vant henesi john walker savanah kama yote.. huenda zinatibu mawazo
Katafute pombe ambayo wameendika inatibu mawazo na msongo wa mawazo ndio ununue na kuinywaa mkuu.. huenda pombe ni tamu.. vipi nikuletee amarula na white wine 🤭🤭
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Teh teh wewe unasemea umri wakati mwenzio kadiri miaka inavyozidi kuenda ndivyo ninavyozidi kujua ni kwa kiasi gani sihitaji ndoa! Wakati niko chuo hadi namaliza mawazo yangu yalikuwa kutafuta pesa, kusafiri, kuolewa na kuwa na happy family!
Ila ninavyozidi kukuwa ndivyo ninavyozidi kugundua kuwa those were just fantasies na ndoa ain't a bed of roses as y'all say or think! Na wakati mnaongelea masuala ya umri kuna wanawake wako 30 and above na wana mtazamo kama huu wa kwangu ni solo riders na they are successful and happy with their life!
Na kama ni kweli kuwa eti upweke ni stress kama mnavyosema basi mimi niko tayari kuzikabili stress za upweke kuliko stress za ndoa! Mwisho wa siku maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua kila binadamu ana haki ya kuchagua analoliona jema ama baya kwake ili mradi tu asimdhuru mtu yeyote wala asivunje sheria za nchi husika!
Haka kataa kapo kapo sanaaa.. naona kwenye crown nyingi kapo .. haka mie toka kitambo kapo japo tyre zote zimebadilishwaHiyo taa ya chini kushoto ni ya nini?
Mie sitishi mtu, we kanywa tu ..huenda mawazo yakaondoka mkuu
Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Katafute pombe ambayo wameendika inatibu mawazo na msongo wa mawazo ndio ununue na kuinywaa mkuu.. huenda pombe ni tamu.. vipi nikuletee amarula na white wine [emoji2960][emoji2960]
Kunywa ni tamu zile 😊😊Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ni wa kunifanyia hivyo kweli??
Jaribio jema. Remember to drink responsibly.... Sant Anna haina ukakasi ni tamu balaa 🥰Oh Asante Sana Depal
Nitajaribu Saint Anna iliyo na jina langu nione namna gani kulewa kunakuwa na nione ladha ya pombe.
Nje ya mada;
Nywele zako kwenye avatar umetengenezaje(umepaka Nini)
Nimezipenda.
Umeshanikatisha tamaa[emoji23][emoji23][emoji23]Mie sitishi mtu, we kanywa tu ..huenda mawazo yakaondoka mkuu
Hapana mkuu kunywa, ni nzuri tu ni tamu tu, usiogope wala usikate tamaa.. piga vyombo weweUmeshanikatisha tamaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui kwanini wengi wananikatisha tamaa[emoji1751]
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app