Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kunywa ni tamu zile [emoji4][emoji4]
Zinaondoa mawazo zile
😟😟😟.. hapana mie kutokunywa sio sababu ya kuwa haiondoi mawazo.. mie sijawai tu kuinywa, hapa duniani sio lazima kila kitu ufanye mkuu.. mengine unawaachia na wengine ..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo wewe mwenyewe hujawahi kunywa .
Ukute zinapunguza mawazo ila mimi na wewe hatuelewi kwa sababu wote hatujawahi kunywa[emoji23][emoji23][emoji23].
Cha kufanya kesho ukuje na St Anna tujaribu tuone inakuwaje,
Ikipunguza mawazo naendelea kunywa,isipopunguza nafwata ushauri wako.
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Hizo twist sponge ndio zinapatikana wapi??Jaribio jema. Remember to drink responsibly.... Sant Anna haina ukakasi ni tamu balaa [emoji3059]
Nywele unatumia movit ya nywele fupi, au easy wave ila ile inakata nywele dawa ikiwa inaishia. Ukishaweka dawa ndio unanyoa pembeni kama itakupendeza then unatumia twists sponge kuziviriga.
Nagawa Amarula na bacchanal mkuu unakunywa ?Jaribio jema. Remember to drink responsibly.... Sant Anna haina ukakasi ni tamu balaa 🥰
Nywele unatumia movit ya nywele fupi, au easy wave ila ile inakata nywele dawa ikiwa inaishia. Ukishaweka dawa ndio unanyoa pembeni kama itakupendeza then unatumia twists sponge kuziviriga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana mkuu kunywa, ni nzuri tu ni tamu tu, usiogope wala usikate tamaa.. piga vyombo wewe
Paulo alimuambia Timotheo achape ka mvinyo kwa ajiri ya tumbo lake.. na wewe chapa masanga kwa ajiri ya mawazo yako mkuu, ni nzuri ile hata ki afya 😊[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu anakuona.
Amarula nakunywa. Bacchanal ndiyo nini tena? Usinicheke pls 🤭Nagawa Amarula na bacchanal mkuu unakunywa ?
Hakika.[emoji45][emoji45][emoji45].. hapana mie kutokunywa sio sababu ya kuwa haiondoi mawazo.. mie sijawai tu kuinywa, hapa duniani sio lazima kila kitu ufanye mkuu.. mengine unawaachia na wengine ..
Hahaha unang'ata huku unapulizaHapana mkuu kunywa, ni nzuri tu ni tamu tu, usiogope wala usikate tamaa.. piga vyombo wewe
Ni aina ya wine mkuu... nzuri ukitaka nayo ipo .. basi nitakuletea Amarula mkuu hata vichupa vitatu vikubwa si vinakutosha au unataka Hennesy 😊Amarula nakunywa. Bacchanal ndiyo nini tena? Usinicheke pls 🤭
😳😳😳 hujakulia pwani mkuu.. kuna raha ya kuogelea kwa faida ya kimazoezi, tunaongeza pumzi.. na kiafya pia.Hakika.
Hapa duniani vingine si lazima kufanya,
Kama ambavyo mimi nilivyojizatiti kutokuogelea.
Kweli wewe unajua kung'ata na kupuliza.Paulo alimuambia Timotheo achape ka mvinyo kwa ajiri ya tumbo lake.. na wewe chapa masanga kwa ajiri ya mawazo yako mkuu, ni nzuri ile hata ki afya [emoji4]
🙃🙃🙃 kwani mkuu Amarula ikianza kuingia ndani huwa si unasikia ka raha flani hivi amazing eeh ☺.. tena umri wake ndio mzuri wa kupiga vyombo bado hajawa na majukumu familia n.k .. achape tu ndio mda huuHahaha unang'ata huku unapuliza
Subaru ni vyuma, ndio maana nilinunuaga na mie, zingekuwa mbaya nisingenunua mkuu.. vyuma vile.. 🙂🙂Kweli wewe unajua kung'ata na kupuliza.
Juzi Kati umewang'ata wenye Subaru humu halafu ukaanza kuwapuliza.
Kawaida yake[emoji1751][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha unang'ata huku unapuliza
Haki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Subaru ni vyuma, ndio maana nilinunuaga na mie, zingekuwa mbaya nisingenunua mkuu.. vyuma vile.. [emoji846][emoji846]
Nasikia hata pombe ina raha hivyohivyo [emoji23].[emoji15][emoji15][emoji15] hujakulia pwani mkuu.. kuna raha ya kuogelea kwa faida ya kimazoezi, tunaongeza pumzi.. na kiafya pia.
Kuokoa watu wanapo zama na meli kwa bahari, ziwa, mito 🙂🙂🙂Nasikia hata pombe ina raha hivyohivyo [emoji23].
Nipe faida za kiafya za kuogelea.
Maduka ya cosmetics unazipata. Ipo hiviHizo twist sponge ndio zinapatikana wapi??
Ipoje?
Nataka na Mimi nijaribu ila sitaki kunyoa pembeni..
Asante,nitajaribu hiyo St Anna.
Ikikubali,nitajaribu na hizo nyingine.