Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,758
- 26,885
Mwigumbi - MaswaMikeka yote hii nimeendesha dah.... ongezea hapo na Mwighumbi (Shy) - Lamadi kupitia Maswa / Bariadi
Ijumaa
Ishazingua?Mwigumbi - Maswa
Inafumuliwa na kusukwa upya
salute.Ijumaa
Nimetoka kabanga/ngara, nikiwa na tani 30 za maharage
Nimepanda k9 usiku wa saa 7 hadi benaco salama salimini, nikashuka mizani nyakatura, nikaenda kupumzika nyakanazi
Mapema tu nikalianzisha na P 360 kidot, kupitia mbogwe, runzewe hadi kahama, mzigo ukawa umecheza nikapanga upya
Toka kahama tinde, nzega, igunga singida nikalala manyoni Emirates pale..
Alfajiri nikalianzisha shusha salanda salanda bahi na dom kagua mzigo, gari shwari
Barabara ni safi kabisa hakuna utekaji wizi wala usumbufu
Shida ikaanzia kibamba hapo, vijana wakadandia wakachana turubai bahati nikaona, nikasimama nikaomba ulinzi shirikishi hapo hadi sokota, nikawalipa
Saa namalizia kushusha mzigo wa watu hapa temeke
Mara moja moja tunapengua kamasi.Muhimu kustaafu
Heshima kwako.... bila nyinyi uchumi unasimamaIjumaa
Nimetoka kabanga/ngara, nikiwa na tani 30 za maharage
Nimepanda k9 usiku wa saa 7 hadi benaco salama salimini, nikashuka mizani nyakatura, nikaenda kupumzika nyakanazi
Mapema tu nikalianzisha na P 360 kidot, kupitia mbogwe, runzewe hadi kahama, mzigo ukawa umecheza nikapanga upya
Toka kahama tinde, nzega, igunga singida nikalala manyoni Emirates pale..
Alfajiri nikalianzisha shusha salanda salanda bahi na dom kagua mzigo, gari shwari
Barabara ni safi kabisa hakuna utekaji wizi wala usumbufu
Shida ikaanzia kibamba hapo, vijana wakadandia wakachana turubai bahati nikaona, nikasimama nikaomba ulinzi shirikishi hapo hadi sokota, nikawalipa
Saa namalizia kushusha mzigo wa watu hapa temeke
Mshale wa RPM ndio kazi yake hiyo 😀😀.. hapo isiwe chini ya 240 kmhMara moja moja tunapengua kamasi.
Hivi hili jiko ukitoa limiter linatakiwa ligonge ngapi?
View attachment 1850527
0-180kph in 30seconds.....Mara moja moja tunapengua kamasi.
Hivi hili jiko ukitoa limiter linatakiwa ligonge ngapi?
View attachment 1850527
Bado inadai gia moja hapo, iko 4th na gearbox yake ina 5Mshale wa RPM ndio kazi yake hiyo 😀😀.. hapo isiwe chini ya 240 kmh
Hivi kibamba bado wanaiba?Ijumaa
Nimetoka kabanga/ngara, nikiwa na tani 30 za maharage
Nimepanda k9 usiku wa saa 7 hadi benaco salama salimini, nikashuka mizani nyakatura, nikaenda kupumzika nyakanazi
Mapema tu nikalianzisha na P 360 kidot, kupitia mbogwe, runzewe hadi kahama, mzigo ukawa umecheza nikapanga upya
Toka kahama tinde, nzega, igunga singida nikalala manyoni Emirates pale..
Alfajiri nikalianzisha shusha salanda salanda bahi na dom kagua mzigo, gari shwari
Barabara ni safi kabisa hakuna utekaji wizi wala usumbufu
Shida ikaanzia kibamba hapo, vijana wakadandia wakachana turubai bahati nikaona, nikasimama nikaomba ulinzi shirikishi hapo hadi sokota, nikawalipa
Saa namalizia kushusha mzigo wa watu hapa temeke
Jana hiyo, mida ya saa 5 usikuHivi kibamba bado wanaiba?
Chini ya kiwangoIshazingua?
Tembea na chuma.Jana hiyo, mida ya saa 5 usiku
Nimeanza tu ule mlima nikashangaa sana
Imagine nimetoka kote huko, safi tu kufika hapo shida ikaanza
Si umeona bwana waziri wa mambo ya ndani amekichafua kwenye umiriki wa sirahaTembea na chuma.
TouchéMy Favorite roads 2021 kama unapenda kunyoosha goti!
1. Manyoni - Tabora (Via Itigi hatari sana but usipate breakdown hakunaga msaada ile njia[emoji1787]
2. Arusha-Longido
3. Arusha - Manyara, na Kondoa- Dom
4. Biharamulo - Muleba
5. Makambako - Igawa (sema mchana kuna tochi kali sana)
My Best Sceneries
1. Moro - Iringa
2. Mbeya - Kyela (Nature ya hapa ni balaa)
3. Arusha-Namanga (Landscapes, vilima, wanyama)
4. Muleba - Chato (driving along Lake Victoria)
5. Himo-Marangu, Kilema, Rombo (hizi njia ukipata muda pita tu hata bila sababu kunavutia sana sana)
6. Mombo- Lushoto
7. Mbeya- Chunya
8. Mara-Serengeti- Ngorongoro Arusha Kama una gari ya juu don’t miss this
Zingine muongezee wazee
Khaa!Tembea na chuma.
Zile S za Nyang'oro pia ni breath takingTouché
I second you
Plus Dodoma - Iringa view ya Mtera Dam