Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

mkuu kuna a lot of corners zenye blind spot au sisi wengine tunapita njia tofauti?
plus ubovu wa barabara kabla ya lile daraja lililokatika. kwa gari kama subaru cross sports huwezi kwenda na 160km/hr kwene mawimbi and mashimo tena safari ya usiku.
Nimepita hiyo Road juzi tu usiku. Kwakweli sijaona kona yaku tisha. Ni kona za kawaida mno. Mm naona barabara ni ya kawaida kwa mwenye pumzi zake inaruhusu kufungua pump.
 
Nimepita hiyo Road juzi tu usiku. Kwakweli sijaona kona yaku tisha. Ni kona za kawaida mno. Mm naona barabara ni ya kawaida kwa mwenye pumzi zake inaruhusu kufungua pump.
Watu watembeze vyumaaa, mguu ekseleta mguu breki, jicho side mirrors jicho driving mirror jicho dashboard uone kama mzungu 'anakusemesha' jambooo
 
Nimepita hiyo Road juzi tu usiku. Kwakweli sijaona kona yaku tisha. Ni kona za kawaida mno. Mm naona barabara ni ya kawaida kwa mwenye pumzi zake inaruhusu kufungua pump.
mkuu mimi trips za dom-dar-dom ni after every 2 weekends sio kwamba nimepita mara moja and natumia ACA38W ila nikijitahidi sana ni 5hrs n 40 minutes. Dom kutoka saa 11 jioni fridays then sundays dar natoka mida ya saa 11 jionj pia. Maybe uyo mtu anaetumua 4hrs anatembea saa nane ya usiku.
Note pia dar to dom road ina malorry mengi tofauti na njia kama dar to arusha.
 
Saa 11 jioni Bado kuna foleni. Wanapiga masaa manne wanaondoka Dar saa sita usiku au tisa alfajiri.

 
Leo nimekichafua barabarani.. STL na STK pamoja na SU tumelazana hoi.. mwendo ilikuwa speed ya chini 180 - 240 kmh 🙂🙂

View attachment 1860175

Please....

At times think about people who likes to see you do more road trips, especially me...

Nisiisemee miiyo ya watu wengine, binafs mbali na wakupendao kwa ukaribu familia ndugu jamaa na marafiki...

Sikuombei mabaya ila hiyo spidi 240 hadi nimepata goose pimples....!

Please think about yourself, na ukitaka ujue watu walio nawe kwenye maisha yako bega kwa bega, pata matatizo/ umwa muda mrefu uone.

Please stay safe, a granny outer here cares.
🥂.

Wape hi hapo cate Hotels.
 
Watu wachokozi sanaaa.. ila leo tu siku ingine sikimbizi tena gari, nitaweka kidhibiti mwendo yaani mwisho 80kmh
 
Kweli, unatakiwa kuwa mkali..
 
Pisi ndio zina mambo hayo na matozi wao wanaona sifa wanawaruhusu.
 
Umalize kisahani usiku?! Utakutana na kicheche na kuishia kujificha mvua usiokuwepo!
 
Ist new model ni shidaaa.. inachanganya haraka sana.. hutojutia mkuu na ulaji wake wa wese inanusa tu, balance imo ya kutosna kama RR culli ya dimond na hata ndani ipo sex sana.. chukua chombo.. crown hazina balance kidogo inaanza tetema
Imebidi nicheke tu mzee 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 huu ushauri ni sawa na kumwambia mtu aungie mboga mafuta ya petroli kwa sababu ya alizeti ni bei ghali kwa sasa!😅😅😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…