Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Kama dereva mmbovu na chombo kibovu + road mbaya, usipende speed kubwa, inaweza kukutokea puani
Safi sana mchumba,,, hii ndio mambo ya maana sasa nitaku add kwenye group la team cruiser 😅😅😅!Kweli mkuu sijui umetumia gari gani ila mfano kama LC V8 zina uwezo wa kutumia 4hrs tu from Dar to Dom ndiyo maana hata viongozi wakubwa wanaoendeshwa kwa hizi gari wana uwezo wa kuja Dar kila ijumaa jioni kuspend weekend nzima na kurudi Dom kila jumatatu asubuhi kuendelea na kazi! Wenyewe wanakuambia Dom hakujachangamka hivyo hapafai kula bata ndiyo maana wanatamani kurudi Dar!
Kuna siku Mwendazake alikuwa Mbeya na msafara wake imagine from Tukuyu to Mbeya mjini kwa gari za kawaida ni mwendo wa karibu lisaa na nusu lakini LC V8 za msafara wa Rais zilitumia nusu saa tu from Tukuyu to Mbeya! Yaani Mbeya mjini gari zote ambazo zilikuwa kwenye barabara ambayo msafara wa Rais ulitakiwa upite zilisimamishwa Mwendazake akiwa Tukuyu na baada ya nusu saa msafara ukawa umeshateremka Mbeya mjini!
Kwa sie SUV enthusiasts tunaona hapa kweli mjapan alitulia! Ndiyo maana binafsi kwa SUVs za mjep nazielewaga sana LC VXR V8 na NP Y62 V8 hizi gari huwa naziheshimu sana ni moto wa kuotea mbali!
Speed kubwa ni hatari kwenye gari imara hata za kinyonge.Kama dereva mmbovu na chombo kibovu + road mbaya, usipende speed kubwa, inaweza kukutokea puani
Kuwa makini na vichanja tu na taa ziwe safiWazee wa night... ndo natoka Dodoma sahizi
Siku kama hizi unaiona dunia yote yakoKwa leo, ukweli nilizamilia lolote kuanzia Trafic, tochi etc.. na cha ajabu na vurugu zote sijapigwa mkono hata sehemu moja, na kwa leo tu nimetembea km 957 bila unoko [emoji3][emoji3]
Hatari kwa gari ilioko na proper suspensions and brakes unaweza cheza nayo ila gari iwe na balance tuSpeed kubwa ni hatari kwenye gari imara hata za kinyonge.
Hatari inapotokea ni rahisi sana kupoteza dira.
Sent using Jamii Forums mobile app
Za kinyonge kweli! Gari yenye less than 150 horses inakuwa kinyonge sana labda iwe imechangamshwa na turbosHapo kwenye zisizo na kifua weka mabano,andika za kinyonge [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
This thread[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Gari ya mzee😅 hio haiuzwagiZenye hali nzuri, zimenyooka,hazijabondwabondwa huwa haziuzwi. Ninayo imenyooka haswa hata 5m siuzi. Inshort haiuzwi.
Wewe mie nakulaza siti ya nyuma tu wala sitaki uongee😂😂😂Wengine tuna shtuka haraka inapotokea hatari.
Namna nzuri ya kukwepa hayo yote ni kwenda speed ya kawaida tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787]Leo nimekichafua barabarani.. STL na STK pamoja na SU tumelazana hoi.. mwendo ilikuwa speed ya chini 180 - 240 kmh [emoji846][emoji846]
View attachment 1860175
Ukiona hio hali ni muhimu kujiwahi na energy drink + water! Dilute energy drink na maji kunywa glass nzima ya fasta usingizi ungekataMwenzio yalinikuta. Nimetoka mbali vizuri na alphad ile naianza kibaha nikawa nahisi usingizi ila nakazaa macho nasema nimesha fika hapa ntalala home. Kufika kibamba nikapiga mapipa yale ya ujenzi wa barabara kumbe nilisha sinziaaaa kitamboo. Mguu wa kushoto mbele na bumper vili ishia pale. Confortability ya gari huongeza raha ya kausingizi.
Basi fanya kumpa bure kama haiuzwi[emoji38]Zenye hali nzuri, zimenyooka,hazijabondwabondwa huwa haziuzwi. Ninayo imenyooka haswa hata 5m siuzi. Inshort haiuzwi.
Hahahahah siku napanda Chunya na dadaako nilimnyamazisha tu maana tungetumia siku 3 kufika 😅😅😅[emoji23]
Huko nyuma ndio nitakufa kwa mawazo,maana ikiyumba tu kidogo nainuka kuchungulia[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheli ndio mchawi ila kwa safari ipo 😂Brevis mkuu zipo powa
Hahaha nilipitia mbalizi nikapanda na rough road[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Speed ikizidi huwa nahisi utumbo unatokea mdomoni.
Kwahiyo mkuu zile kona za chunya wewe ulikuwa unapepea tu![emoji134]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilijuta 😂😂😂
Nilitoboa tank wakati narudi 😅 nikaua bush kama zote basi gari chini huko inapiga vigeregere kama hiace mbwa kachoka zile! Nafika mbalizi nikashusha Tank na kuziba hizo Tire moja ikakata uzi nikafunga jingine jipya!
180 haina maajabu[emoji1787]
Eti speed ilikuwa ya chini[emoji38]
Yaani 180 unaiona ya chini![emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahah mwenye 4.0L ni papa Don mwambaKama wa Brevis analia mafuta na mwenye 4.0L nae asemaje ? Mtu nikikuta analia mafita simuelewi
3.Arusha- Manyara,Babati hio ni kama Autobahn kibongo bongo 😂😂😂! Kimsingi highway zote zilitakiwa ziwe namna ile sio mituta kila mahali!!!My Favorite roads 2021 kama unapenda kunyoosha goti!
1. Manyoni - Tabora (Via Itigi hatari sana but usipate breakdown hakunaga msaada ile njia[emoji1787]
2. Arusha-Longido
3. Arusha - Manyara, na Kondoa- Dom
4. Biharamulo - Muleba
5. Makambako - Igawa (sema mchana kuna tochi kali sana)
My Best Sceneries
1. Moro - Iringa
2. Mbeya - Kyela (Nature ya hapa ni balaa)
3. Arusha-Namanga (Landscapes, vilima, wanyama)
4. Muleba - Chato (driving along Lake Victoria)
5. Himo-Marangu, Kilema, Rombo (hizi njia ukipata muda pita tu hata bila sababu kunavutia sana sana)
6. Mombo- Lushoto
7. Mbeya- Chunya
8. Mara-Serengeti- Ngorongoro Arusha Kama una gari ya juu don’t miss this
Zingine muongezee wazee