Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

[emoji3][emoji3]
Ulitaka mambo yaende chap[emoji1751]
Mimi vitu vya mkato huwa sipendi.

Pole mkuu.

Kwahiyo gari iliimba pambio na kupiga geregere ya kutosha?
Sipati picha kelele zake[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah yah kama gari ikikata bushing ndio vibrations na milio ya vyuma vinagongana inakuwa severe! Ball joints na swaybar bushes zikiwa out of shape huwezi tembea na gari rough road inakera ila kwenye lami husikii kitu kabisa tulivu mno mpaka ukanyage rasta😅😅😅
 
Kwa sababu tu ya ligi road[emoji38]

Kumbuka ajali siyo lazima ufe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mmoja ana agano katika maisha yake.. unalo fikiria ndio linalo kujia. Sifikirii cha kanza ajari na sifikiri kilema cha mwili, na sitokufa kwa ajari wala ulemavu kutokana na ajari.. na tusipangiane kufikiri wala kuamini😎😎😎
 
Kila mmoja ana agano katika maisha yake.. unalo fikiria ndio linalo kujia. Sifikirii cha kanza ajari na sifikiri kilema cha mwili, na sitokufa kwa ajari wala ulemavu kutokana na ajari.. na tusipangiane kufikiri [emoji41][emoji41][emoji41]
Sawa mkuu.

Mimi pia nakuombea hayo yasikupate.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2 rpm ni kujichosha. Ibute tu usikiw ule mlio aa kibabs
Hahahahahah mzee unaniacha hoi😅😅😅😅😅 mshale unatakiwa ufike 4 kinyama 😂😂😂😂 usikie uluzi wa 4GR ule ila silencer ya crown tamu sana yani!

Sijui mjapani aliwaza nini kuna kamlio flani kale sijui ni ka camshafts yani kanaleta ladha sana! Kwenye department ya engine idle sounds mjapani hana mpinzani kwa kweli!

Engine ipo kimya ila inalia kama ukipekecha nyuma baskeli kale kamlio 😅
 
Na sasa hivi ikwezekana barabara ipanuliwe .au yale ya mbeya yatumue e njia ya kusini kupunguza msongamano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…