Wazee wa β€˜Road Trip’ mpo?

Mimi sikuhizi nimeacha kumaliza kisahani enzi zile wakati sijaoa sina watoto kweli nilikuwa napenda sana ligi. Siku hizi naenda speed max 140. huwa nawaza watoto nikivuta nani atawalea. basi najikuta nakuwa mpole tu. ila kama nimepata simu ya dharura nikaitwa mkoani matumizi ya dashboard yanabadilika speed inahitajika pale tu inapotakiwa kweli mm kukimbia
 
Ukiwa na familia au watu wanakutazama ni muhimu hilo
 
140kph ndio mwendo elekezi πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Eti dakika mbili niko takoni

Ligi raha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…