Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Tutafute pesa.
 
Kwa sasa hivi nipo tight sana mkuu ukiaanza mwezi wa 8 nitakua free nina vyuma viwili sijavijaribu kabisa, ila kwako inabidi nibebe wildtrak tuende sawa [emoji28]
Nzuri sana, na mie mwezi wa nane nipo likizo ndefu kabisaa. nitakucheki hata tukatulie tupige kahawa story na kucheki mazingira mazuri ya pale. Hongera sana kwa mnyama 😀😀
 
[emoji23]nawaombea sana iwe mnataka au hamtaki ,
Maombi yangu kwa Mungu kwenu ni lazima[emoji120].

I hope you're doing good,,,
Nimependa uko strong[emoji4].

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitaka nikupe moyo, alafu mie yakinikuta nilie au niwe weak.. si ungeshangaa huyu mwalimu wa aje.. nilichokuwa nakuelekeza ndicho ambacho nakiishi 😄😄😄😄
 
Ulitaka nikupe moyo, alafu mie yakinikuta nilie au niwe weak.. si ungeshangaa huyu mwalimu wa aje.. nilichokuwa nakuelekeza ndicho ambacho nakiishi [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kweli Mwalimu nimejifunza kwa mfano [emoji120]
Nikafuta machozi, mbele ninaendelea.
Yale mahubiri uliyonihubiria naona umeyafanya kwa vitendo,,hiyo ndiyo Imani Sasa[emoji106]

Ila kiwango Cha Imani yako bado sijakikaribia japo robo[emoji4][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…