Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

😀😀😀😀😀 Upo vizuri pia sanaaa..
 
[emoji846][emoji846][emoji846][emoji846] Tuishi kwa vitendo. Mungu huwa mwema kila siku na anapo ruhusu jambo litokee anabaki kuwa Mungu mkuu mwenye upendo
Hakika[emoji120]
Nakuelewa Sana nabii wa Bwana[emoji23].

Sasahivi mafundisho yako itakuwa rahisi kuyaamini maana nimeshatengeneza imani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo mboni haitoguswa.. itakuwa salama tu.. hata kwa trip ya geita itapendeza [emoji3][emoji3]
Anajua kabisa haitaguswa, itakuwa salama ila woga wake yeye ni safari tu.
Nikiingia road anaogopa[emoji23]wakati nishawaambia mimi siji kufa kwa ajali.
Na nikimwambia hizo siku ndiyo kabisaa [emoji23],heri nimwambie kwenda na kurudi.
.
.
Geita utapepea mno njiani,labda niendeshe Mimi kwa speed ya 50 na I'm sure tutakesha njiani[emoji1787].
Fanya ile ya Tanga[emoji6].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…