Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Moyo unaweka wese kwenye gari?Safari ni safari.. zamani tulikuwa tunasafiri kwa miguu na wapenzi wetu.. tunaenda kula bata porini.. ilo bata lenyewe la porini sasa.. acha matunda mwitu, mnarudi hoi.. ila maisha yalikuwa mazuri sanaaa.. haikuhitaji pesa ni moyo tu
Vipi twende mogoroto ?"Kujiendea Kama bata"
🤣🤣🤣🤣
Kila mtu na vipaumbele vyake nakubali. Kuna wengine kusafiri safiri haiko damuni, huyu mtu hata awe na mapene bado ataona akisafiri let say kuna upotevu ataufanya (muda na pesa)
Kuna mwingine akishika tu pesa yule asharuka magoroto. Hata kama zitaisha, kesho atatafuta nyingine.
Damu ndio wese, nyie wa siku hizi ndio hamjui haya mambo.. sie tulikuwa tunasafari kwa miguu KM kadhaa .. kwenda kutazama mazingira na kufurahia mazingira, kama kuna shamba huko mnalala mnarudi siku ingine.. maana mnakuwa mmechoka kwa mwendoo.. alafu nyie wa sasa tukiwatembeza km 100.. mtaongea sanaaa na mtatungaza
Kwahiyo unakubaliana na kauli yangu kwamba pesa ni stimulus ya safari?Damu ndio wese, nyie wa siku hizi ndio hamjui haya mambo.. sie tulikuwa tunasafari kwa miguu KM kadhaa .. kwenda kutazama mazingira na kufurahia mazingira, kama kuna shamba huko mnalala mnarudi siku ingine.. maana mnakuwa mmechoka kwa mwendoo.. alafu nyie wa sasa tukiwatembeza km 100.. mtaongea sanaaa na mtatungaza
Nasomeka Gairo hapa..
Hapana, kama pesa haipo unatembea kwa miguu.. Macho na nafsi ndio stimulus ya safariKwahiyo unakubaliana na kauli yangu kwamba pesa ni stimulus ya safari?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo inawezekana kutoka Dar hadi Dom,au Moro hadi iringa ukakatiza mikumi kwa mguu tu kwa sababu moyo na nafsi vimekustimulate?Hapana, kama pesa haipo unatembea kwa miguu.. Macho na nafsi ndio stimulus ya safari
Watu tumetembea sana kutoka Dar to Morogoro.. bila mia mfukoniKama huna pesa huwezi ukasafiri,hilo lipo wazi .
Huwezi linganisha elfu moja ya bando na pesa ya nauli tu ya bus ama ya kunywa kahawa hapo cate hotel.
Sent using Jamii Forums mobile app
Safari sio lazima utoke Dar hadi Dom.. unaweza toka buza hadi kigamboni zoo..Kwahiyo inawezekana kutoka Dar hadi Dom kwa mguu tu kwa sababu moyo na nafsi vimekustimulate?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi kesho uelekeo Mbeya Mungu akijaaliaMwisho wa mwezi natoka hapa mjini nishachoka
Huko Zoo wanaingia bure?Safari sio lazima utoke Dar hadi Dom.. unaweza toka buza hadi kigamboni zoo..
Kumbe eeh!Watu tumetembea sana kutoka Dar to Morogoro.. bila mia mfukoni
Ukisimama nje waona pia, au unaenda msitu wa pande.. wengine tunapenda mazingira tu
[emoji172][emoji172][emoji172]Mimi kesho uelekeo Mbeya Mungu akijaalia
Nyie hamjaenda JKT ndio maana mnaona haiwezekani.. safari ni safari
Kutoka Buza hadi kigamboni ni bure?Ukisimama nje waona pia, au unaenda msitu wa pande.. wengine tunapenda mazingira tu
Nani hajaenda?Nyie hamjaenda JKT ndio maana mnaona haiwezekani.. safari ni safari
Umenikumbusha chato mkuu. Aisee jina kubwa jidanganye ufike sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji847][emoji847][emoji847]Nasomeka Gairo hapa..
Nina trip ya chato to mwanza kupumzika tu, Naiaza jumatatu, kuanzia Dodoma nalala siku moja, then naenda Tabora nalala siku mbili, alafu chato then mwanza, chato sijawahi vutiwa kulala hata siku moja
Mabaunsa wa pale wapu.mbavu sana, ipo siku kuna mmoja nitamuundia zengwe.. kuna siku wamenigomea kuingia kisa nipo na ka dogo wakajua sie ni wafunzi.. mabaunsa ya pale ni kama maroboti hayana akili 🙂🙂🙂Sina Shaka wadau wengi wa Road trip wanao fika hili eneo itakua tumeonana ila tu hatujuani haha...muwe makini mkishapata ugimbi wengi mnaingiaga barabarani hovyo nahiyo ni barabara kubwa mbaya sana usiku magari yanafunguka kutoka kwenye mataa na kutokea kisasa.
Ipo kimyaaa sana, sijawai lala pale huwa haijalishi nimeingia saa ngapi na natakiwa nitoke saa ngapi, huwa nahakikisha naondokaUmenikumbusha chato mkuu. Aisee jina kubwa jidanganye ufike sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji847][emoji847][emoji847]View attachment 1870913