Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
mmenda JKT smart yaani soft si ile ya kitata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmenda JKT smart yaani soft si ile ya kitata
Tushaingia Green City na pikipiki kutokea Dar....[emoji172][emoji172][emoji172]
Green City.
Nafarijika kuona watu wanapiga trip za Mbeya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umeenda jkt mwaka gani?mmenda JKT smart yaani soft si ile ya kitata
Unatembea, alafu hujui tu. kuna watu wana kila kitu na kuna wasio nakila kitu, ila hupendelea safari za miguu kutoka mkoa hadi mkoa au nchi hadi nchi for fun
Dah bambalaga wana dharau sana [emoji23][emoji23][emoji3]. Yamenikuta haya pia mkuu. Ukienda na mtu mwenye umbile dogo haingii. Hawataki proof of age wala nini yani wanaangalia tu kwa macho wanaamua kugoma, wanasema "humu hamna watu wa rika hilo"Mabaunsa wa pale wapu.mbavu sana, ipo siku kuna mmoja nitamuundia zengwe.. kuna siku wamenigomea kuingia kisa nipo na ka dogo wakajua sie ni wafunzi.. mabaunsa ya pale ni kama maroboti hayana akili 🙂🙂🙂
Yaani atembee for fun na huku Nyumbani hata kula ni ya shida!?!Unatembea, alafu hujui tu. kuna watu wana kila kitu na kuna wasio nakila kitu, ila hupendelea safari za miguu kutoka mkoa hadi mkoa au nchi hadi nchi for fun
Huo ukanda umenikalia kushoto sana, hata trip za huko huwa nazikwepea mbali sana.. moyo huwa mweusi tii kuelekea hukoMimi kesho uelekeo Mbeya Mungu akijaalia
Na pikipiki???!!!Tushaingia Green City na pikipiki kutokea Dar....
Tunatembelea sana Mbeya boss
View attachment 1870918
mysterio
Usiku wa kwanza nilipaki nje ya giraffe bar wanapokesha pale, nikapiga kvant yangu nikalala kwenye gari [emoji23][emoji23][emoji23]Ipo kimyaaa sana, sijawai lala pale huwa haijalishi nimeingia saa ngapi na natakiwa nitoke saa ngapi, huwa nahakikisha naondoka
Hawana akili wale marobot, shemu yenyewe ni kawaida sanaaa, tunaendaga pale watu tuna mambo yetu ila hapana u matawi yoyote hadi kuleta zile dharau vile..Dah bambalaga wana dharau sana [emoji23][emoji23][emoji3]. Yamenikuta haya pia mkuu. Ukienda na mtu mwenye umbile dogo haingii. Hawataki proof of age wala nini yani wanaangalia tu kwa macho wanaamua kugoma, wanasema "humu hamna watu wa rika hilo"
Upo huru kuwaza hivyoYaani atembee for fun na huku Nyumbani hata kula ni ya shida!?!
Njiani anakula nini?
Kwamba mtu anatoka tz hadi Malawi kwa mguu?
Labda ile Malawi ya kwetu ambayo mtu akivuka mto tayari yupo Malawi.
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀😀 kumbe walala kwenye magari tupo wengi, umenichekesha sana. Hasa nikiwa nimejikuta nipo maeneo imenikuta night kali alafu harakati hazijakamilika, mala nyingi nazama kwenye gari nawasha heater nalala zangu tuUsiku wa kwanza nilipaki nje ya giraffe bar wanapokesha pale, nikapiga kvant yangu nikalala kwenye gari [emoji23][emoji23][emoji23]
Kesho yake ndio nikafanya utaratibu wa malazi. Chato pako kushoto sana
Mbeya, muujiza utokee tu labda.. Ila moyo mgumu kweli kweli kusogea hukoNa pikipiki???!!!
Hongereni.
Kuna watu huwa wanasema Mbeya imekaa kushoto. .hawajui tu kulivyo kuzuri Mbeya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani nilijisikia kudhalilika vibaya mno. Na huenda ikawa last time mimi kukanyaga pale.Hawana akili wale marobot, shemu yenyewe ni kawaida sanaaa, tunaendaga pale watu tuna mambo yetu ila hapana u matawi yoyote hadi kuleta zile dharau vile..
Lifestyle hii lazima tu utalala kwenye gari mara moja moja. Kwetu tunaotafuta mkate kwa kuzurura hili halikwepeki.😀😀😀😀 kumbe walala kwenye magari tupo wengi, umenichekesha sana. Hasa nikiwa nimejikuta nipo maeneo imenikuta night kali alafu harakati hazijakamilika, mala nyingi nazama kwenye gari nawasha heater nalala zangu tu
Unashushaga siti au unahamia siti za nyuma??Lifestyle hii lazima tu utalala kwenye gari mara moja moja. Kwetu tunaotafuta mkate kwa kuzurura hili halikwepeki.
Gari zinatusitiri sana.
Inauma sana, mtu mwenyewe anae leta dharau ukimuangalia hata ishi yake ya mashaka mashaka. Kuna mmoja nitammundia zengwe lazima akalale ndani baada ya kumueleza vizuri kuhusu dogo nilie nae akafanya nisukuma.. huwa sitaki makuu nikaa nje pale tukaagiza ali nitreat kama mbwa koko.. but halitoisha hilo, nilijiapiza kabisa siku naondoka pale kuwa nitarudi tena ili tubalance mambo 😎 😎Yani nilijisikia kudhalilika vibaya mno. Na huenda ikawa last time mimi kukanyaga pale.
😀😀 huwa kuna raha yake, pia huwa nafanya hivi kupunguza gharama, unakuta natakiwa kukaa siku tatu, nikilala kwenye gari hotelin nitalipa siku mbili na ndio sababu ya safari za usiku na alafajiri kupunguza gharamaLifestyle hii lazima tu utalala kwenye gari mara moja moja. Kwetu tunaotafuta mkate kwa kuzurura hili halikwepeki.
Gari zinatusitiri sana.
Mmh uwezo wa kufanya mambo gani
Oohh yeah first class ndiyo mpango mzimaNzuri hapo first class inanoga