Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Kwahiyo nikitaka kusafiri kwenda DSM nipo Mbeya.Ohoooo... bata exchange zipo tu.. unaweza mfanyia mtu kitu A nae akakupa kitu B.. huwezi kosa cha kutoa mkuu
Itake radhi sex, ulitokea kwenye chakula au mavazi au ni matokeo ya sex ? Sex ipewe heshima yake ya kipekee kama ni genera basi ni six star general..Acha kulinganisha chakula na vitu vya ajabu.
Watu hadi wanaua watu ili wapate pesa za kula.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohooo.. siku ukitaka utaniambia tutafanya exchange tu .. kwani huna nguo au hauwezi kuja kutumia nguvu zako kwenye jambo flani ili upewe kitu flani ?Kwahiyo nikitaka kusafiri kwenda DSM nipo Mbeya.
Nitaexchange nini pale stand ili nipate nauli ya kukata ticket?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulishawahi kutembelewa na njaa kwa kukosa chakula?Itake radhi sex, ulitokea kwenye chakula au mavazi au ni matokeo ya sex ? Sex ipewe heshima yake ya kipekee kama ni genera basi ni six star general..
acha kufananisha SEX na mambo ya ajabu ajabu weweeee... 😎
Ukiweka chakula na sex, nachagua sex kwanza. Njaa inamtembelea anae endekeza njaa aisee
Bado point ni hela.Ohooo.. siku ukitaka utaniambia tutafanya exchange tu .. kwani huna nguo au hauwezi kuja kutumia nguvu zako kwenye jambo flani ili upewe kitu flani ?
Hauifahamu njaa wewe.Ukiweka chakula na sex, nachagua sex kwanza. Njaa inamtembelea anae endekeza njaa aisee
Kama SEX sio kitu muhimu, nyie mmetokea kwenye mchele eeh na maharage ? Asee nyie mnakosa itakuwa hamja experience na kujua hiyo ni zaidi ya chakula au kulala ndio maana watu wanapata hadi msongo wa mawazo na kujinyonga, SEX ipo connected na nafsi.. chakula kinaishi kwenye tumbo tu.. watu wanagongwa na magari kwa ajiri ya mambo yaliyo connected na sex, ila sio kwa kukosa chakulaWeee Sex isn't an essential thing. It's GOOD 🙈🙈 but sio hitaji muhimu kwa binadamu labda kwa wanandoa. Napo ni 50/50 tu.
Shauli yako kama kila kitu unaona hela
Huifahmu SEX wewe ndio maana unaongea tu na kuona kama jambo dogo dogoHauifahamu njaa wewe.
Hujawahi hata kusoma zile habari watu wanakufa kwa sababu ya njaa.
Ulishawahi ona mtu amekufa kwa kukosa sex?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nauli lakma hela ihusike au lift.Shauli yako kama kila kitu unaona hela
Nani aliwahi kufa kwa kukosa sex?Huifahmu SEX wewe ndio maana unaongea tu na kuona kama jambo dogo dogo
Fanya majaribio, jaribu tu kuitest njaa hata kwa wiki tu.!Kama SEX sio kitu muhimu, nyie mmetokea kwenye mchele eeh na maharage ? Asee nyie mnakosa itakuwa hamja experience na kujua hiyo ni zaidi ya chakula au kulala ndio maana watu wanapata hadi msongo wa mawazo na kujinyonga, SEX ipo connected na nafsi.. chakula kinaishi kwenye tumbo tu.. watu wanagongwa na magari kwa ajiri ya mambo yaliyo connected na sex, ila sio kwa kukosa chakula
Bado mdogo hujui sex wewe 😎Nani aliwahi kufa kwa kukosa sex?
Lakini njaa inaua mchana kweupe.
Anyway,,,
Naona tumegeuza garage kuwa chitchat,kumradhi wadau[emoji120][emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Njaa ya mwili, sex ni ya kwenye nafsi na uzima ni wa rohoni.. pima mwenyewe utajua kipi ni bora zaidi ya kingineFanya majaribio, jaribu tu kuitest njaa hata kwa wiki tu.!
Utanena kwa lugha zote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaishi mwilini.Njaa ya mwili, sex ni ya kwenye nafsi na uzima ni wa rohoni.. pima mwenyewe utajua kipi ni bora zaidi ya kingine
Huo mwili upo under contro ya nini.. utajua kipi bora
Umejifunzia wapi ?