Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Weee Sex isn't an essential thing. It's GOOD 🙈🙈 but sio hitaji muhimu kwa binadamu labda kwa wanandoa. Napo ni 50/50 tu.
Kama SEX sio kitu muhimu, nyie mmetokea kwenye mchele eeh na maharage ? Asee nyie mnakosa itakuwa hamja experience na kujua hiyo ni zaidi ya chakula au kulala ndio maana watu wanapata hadi msongo wa mawazo na kujinyonga, SEX ipo connected na nafsi.. chakula kinaishi kwenye tumbo tu.. watu wanagongwa na magari kwa ajiri ya mambo yaliyo connected na sex, ila sio kwa kukosa chakula
 
Fanya majaribio, jaribu tu kuitest njaa hata kwa wiki tu.!
Utanena kwa lugha zote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom