Point hapa ni kwamba hata meditation ni chakula cha ubongo regardless una meditate kuhusu object gani so msisingizie kwamba mtu asiposex tu basi ubongo utakosa chakula you know what im sayingMeditation lazima iwe na object, na kama huwa una meditate kwa empty your soul upo kwenye hatari ya kuwa attacked spiritual.. meditate neno la Mungu hadi roho yako ipate mlo wake,
Mie sizungumzii hao, na sijatuma mtu akafanya sex.. au kuvuta sogea tuishi.. kuna mema na mabaya, chukua mema tu. Humu wote ni watu wazima, sijatuma mtu mtu aka kwichi kwichi sihusiki na dhambi za mtu 🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️Sasa mbona umeongelea watu wa dini na madhehebu tofauti tu kana kwamba ni hao tu ndiyo huwa na mahusiano ya aina hiyo wakati tunashuhudia vijana wengi wenye dini au madhehebu yanayofanana wanaishi pamoja kama mke na mume na wengine kuzaa kabisa ilihali hawajafunga ndoa
Na wewe endekeza s.e.x tukuunge kwenye grid ya Taifa 😂Mie sipendi chakula by nature kwa amabe ameisha wahi niona au kukaa na mie automatic atajua tu, kwamba sipendi chakula .. kidogo humu Deeboyfrexh anaweza kujua.. chakua sipendi kabisa, zaidi natumiaga vitu moto moto kama kahawa .. endekezekni chakula tu mtapata corona
🤣🤣🤣🤣Mie sizungumzii hao, na sijatuma mtu akafanya sex.. au kuvuta sogea tuishi.. kuna mema na mabaya, chukua mema tu. Humu wote ni watu wazima, sijatuma mtu mtu aka kwichi kwichi sihusiki na dhambi za mtu 🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Haha basi sawaMie sizungumzii hao, na sijatuma mtu akafanya sex.. au kuvuta sogea tuishi.. kuna mema na mabaya, chukua mema tu. Humu wote ni watu wazima, sijatuma mtu mtu aka kwichi kwichi sihusiki na dhambi za mtu [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Unajua unapo fanya sex nini hutokea mwilini ? na uniambie unapo kula hutokea nini na pia nielezee kuhusu meditation hutokea nini.. Sex ipo juu ya vyote hivyo na ninaweza kukufanunulia from zero to infinityPoint hapa ni kwamba hata meditation ni chakula cha ubongo regardless una meditate kuhusu object gani so msisingizie kwamba mtu asiposex tu basi ubongo utakosa chakula you know what im saying
au sio Julieth.. sijatuma mtu, kila mtu na apendacho 🙂🤣🤣🤣🤣
Grid ya taifa ? alafu hainishtui hata..Na wewe endekeza s.e.x tukuunge kwenye grid ya Taifa 😂
Kwa kweli, kila mtu na apendacho. Tatizo linakuja we unapenda vitu vya ajabu 😂au sio Julieth.. sijatuma mtu, kila mtu na apendacho 🙂
Jikute mwamba tu.Grid ya taifa ? alafu hainishtui hata..
awww.. ujakuta na sex pro max.. uzuri hiyo mkimaliza mnalishana kwenye jakuzi, then mnaunganisha humo humo.. aseee byeKwa kweli, kila mtu na apendacho. Tatizo linakuja we unapenda vitu vya ajabu 😂
Romeo umenishangaza lakini
aah, kuna corona, kachanje na uvae baracoaJikute mwamba tu.
Sex tamu kuliko chakula.Sex na chakula kipi cha muhimu?
Utamu unapatikana kwenye chakula.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaawww.. ujakuta na sex pro max.. uzuri hiyo mkimaliza mnalishana kwenye jakuzi, then mnaunganisha humo humo.. aseee bye
Nafunga safari hadi nje ya nchi kisa sex tu.Hawa nafikri hawajawai sex, au kukutana na ile sex pro max.. ndio wangeelewa kuwa chakula kinafatia sex.. mie mtu wangu akifika cha kwanza kabla ya msosi analiwa yeye then ndio chakula
Nyie[emoji23][emoji23]acheni ulinganisha utamu wa chakula na vitu vya ajabu.Sex tamu kuliko chakula.
😀😀😀😀 Ukweli wanaujua, hapa wanatuzuga tu.. ila hapo wanatamani kweli kweli wanaona nomaaa..Nafunga safari hadi nje ya kisa sex tu.
Ila nalala njaa bila shida yeyote.
Bosi wako akiwa mwanamke asipokazwa vizuri huko ofisini hamkai. Kuna maamuzi anakosea waziwazi.
Naenda ku sex mda huu.. siwezi lala bila gameHahaha
Hebu... Kalale huko.
Sex muhimu kuliko chakula.Nyie[emoji23][emoji23]acheni ulinganisha utamu wa chakula na vitu vya ajabu.
Kati ya hayo mawili ni lipi la muhimu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeisha weka Booking 😎 😎Kwa kweli, kila mtu na apendacho. Tatizo linakuja we unapenda vitu vya ajabu 😂
Romeo umenishangaza lakini