Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Vyakula vyote tu duniani hapa.Nitajie chakula unachodhani ni kitamu kuliko orgasm?
Hii ni balaa. Take care broTushaingia Green City na pikipiki kutokea Dar....
Tunatembelea sana Mbeya boss
View attachment 1870918
mysterio
Mm kuna wakati ilikua ni kawaida kwanzia j4 mpaka jumapili nalala kwenye gari. Mpaka nilipo kuja kuona video ya driver mwingine kafa kwa kukosa hewa ndani ya gari, mwingine alishusha vioo kidogo ili hewa ipite waka mpulizia dawa. Wakachomoa vitu vingi. Kaja kustuka saa nne asubuhi gari imebaki fuvu.Lifestyle hii lazima tu utalala kwenye gari mara moja moja. Kwetu tunaotafuta mkate kwa kuzurura hili halikwepeki.
Gari zinatusitiri sana.
Dah hii tabia ni risky sana, ila mtu unaangalia na usalama wa sehemu unayoegesha gari kabla hujalala humo ndaniMm kuna wakati ilikua ni kawaida kwanzia j4 mpaka jumapili nalala kwenye gari. Mpaka nilipo kuja kuona video ya driver mwingine kafa kwa kukosa hewa ndani ya gari, mwingine alishusha vioo kidogo ili hewa ipite waka mpulizia dawa. Wakachomoa vitu vingi. Kaja kustuka saa nne asubuhi gari imebaki fuvu.
Jichange tu then unafumba macho.
Sijui this time 88 itakuwepo?Hapana siwezi bora hiyo hela niombe lift humu ijumaa jioni naelekea Arusha Narudi Jumapili jioni na furushi la maua
Ubwabwa wa nazi na maharage 😂Nitajie chakula unachodhani ni kitamu kuliko orgasm?
Ukisex unapunguza stressUnajua unapo fanya sex nini hutokea mwilini ? na uniambie unapo kula hutokea nini na pia nielezee kuhusu meditation hutokea nini.. Sex ipo juu ya vyote hivyo na ninaweza kukufanunulia from zero to infinity
Teh teh hadi hapo ushaishiwa hoja tufunge tu mjadala
Mie sikusema usile chakula kabisa, ila mie kwangu muhimu ni hicho then ndi mambo mengine yanafatia.Ukisex unapunguza stress
Lakini ukila unaishi
Stress zinaweza kupunguzwa kwa njia nyingi mno siyo lazima sex na mtu akaishi ila niambie njaa inaweza kumalizwa kwa mbadala gani mwingine ili mtu aishi kama siyo kula tu
Ngoja niingie kwenye trip sasa.. badae mapicha pichaKwamba ni ulimbo?
acha ubinafsi weweee, we wa kunifanyia hivi.. dah😎
AutomaticGood morning wazee wa road trip..
Nadhani tumeelewana...[emoji85]View attachment 1872433
Ukianza ugua chekelea, mnishtue .. huwa mnaanza cheka cheka wenyewe mkikosa mlo wa nafsiVyakula vyote tu duniani hapa.
Siwezi fananisha mambo ya ajabu na chakula..
Chakula kiacheni kiitwe chakula Jamani.
Kwanza watoto wa kishua nyie hamjui njaa inavyouma.
Kuna sehemu njaa inauwa kabisa watu..
Lakini wapi uliwahi sikia mtu amekufa kwa kukosa sex?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unalala, huwa tunalala kwenye sehemu za starehe ambazo usalama upo kama kumbi za starehe kubwa kubwaMm kuna wakati ilikua ni kawaida kwanzia j4 mpaka jumapili nalala kwenye gari. Mpaka nilipo kuja kuona video ya driver mwingine kafa kwa kukosa hewa ndani ya gari, mwingine alishusha vioo kidogo ili hewa ipite waka mpulizia dawa. Wakachomoa vitu vingi. Kaja kustuka saa nne asubuhi gari imebaki fuvu.
hili ndio muhimu sana, sio unapaki gari popote na kulala.. mie mlamlaji mzuri sana wa kwenye magariDah hii tabia ni risky sana, ila mtu unaangalia na usalama wa sehemu unayoegesha gari kabla hujalala humo ndani
acha utoto weweee... ndio maana nasema hamjui kitu ninyi.. ndio maana mnapata for few seconds, that why unalinganisha na utopolo, siku uki experience ya dk tatu au tano.. ndio utaona kuwa ni zaidi ya msosiUbwabwa wa nazi na maharage 😂
Kitimoto na pilau/ ndizi/ ugali.
Zege na mishikaki ya kuku
Mirinda nyeusi nacake
Machalari
Mtindi na ugali na nyama roast
Ubwabwa maini
Ubwabwa sangara nk
Org... Is just for few seconds.
Anyway siyo mbaya kwahiyo hiyo sex huwa unaifanya na mtu mmoja au ndiyo naniliu tenaMie sikusema usile chakula kabisa, ila mie kwangu muhimu ni hicho then ndi mambo mengine yanafatia.