Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Vyakula vyote tu duniani hapa.Nitajie chakula unachodhani ni kitamu kuliko orgasm?
Siwezi fananisha mambo ya ajabu na chakula..
Chakula kiacheni kiitwe chakula Jamani.
Kwanza watoto wa kishua nyie hamjui njaa inavyouma.
Kuna sehemu njaa inauwa kabisa watu..
Lakini wapi uliwahi sikia mtu amekufa kwa kukosa sex?
Sent using Jamii Forums mobile app