Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,417
- 5,579
Hatuna ushahidi wa kideo ila kwa feeling behind the wheel tu ile mashine ni yamoto! Ina turbo na supercharger 🤩🤩🤩 inaweza paa!Oyaa tumeni hata ka kideo basi tuone inavyofanya manuva huko road.
Hehehehheh maana inagonga 250 kwa madafu halafu bado hujatia 80% ya hio pesa ili ukawaachie TPAHii pesa ndefu mkuu, hata kufanya ma convertion ni kujichosha tuuu.. acha lipite tu
Next time ukienda niambie nikupe connection ya jamaa yangu mtu poa Sana utachagua akurushe wapi unampa code.Tanga hadi wazawa, ila sie wageni pa kiwaki sanaaa.. kama huna namna ya kukuchangamsha.. utaondoka siku hiyo hiyo.. nishaingia pale kwa ratiba ndefu, mbona jioni yake nikaondoka zangu
Mmhh umeniona wapi tena mkuuHeheheh ukisema wewe si mrembo ina maana macho yangu hayajatambua ule urembo wako na umbile lenye tashiwishi[emoji76] nahisi utakuwa unamkufuru mungu dear! I have seen your beauty siwezi kukupamba bure tu!
Yatakayojiri itakuwa ni siri yetu mimi na wewe ila ni mambo ambayo yanahusisha uwepo wa roho mtakatifu so wala usijali.
Au nikupe na kapicha kenyewe kabisa😍 binti mrembo...sema sitaki kuwapa raia faida humu!Mmhh umeniona wapi tena mkuu
Au una ka id kengine
Haha huyo roho mtakatifu unayemuongelea wewe nina mashaka naye
Hio inakimbilia kwenye M300 za madafu kiongoziEeh bana hio 130k hapo ni kama ngapi kwa bei ya kifrika huku [emoji6]? Hapo before Tax aisee sema soon watu wanaishi nalo hili!
Mitonyo hio bado aisee naweza pata ka Mansion first nikiwa na VW Golf 😅😅😅 nisije kuja kuzikwa kwa aibuHio inakimbilia kwenye M300 za madafu kiongozi
Hahaha hebu nitupie hiyo picha kule kwa waziri mkuu kwanza nioneAu nikupe na kapicha kenyewe kabisa[emoji7] binti mrembo...sema sitaki kuwapa raia faida humu!
Usijali tutaanza na meditation kwanza,you need a relaxed mind first.[emoji41] kisha tuta proceed!
Hehehe na kwa itikadi zetu za bongo hizi kwa kweli ni kujenga kwanza tu mkuuMitonyo hio bado aisee naweza pata ka Mansion first nikiwa na VW Golf [emoji28][emoji28][emoji28] nisije kuja kuzikwa kwa aibu
Shoga yangu kuna uzi wa Moto huko nimekutag[emoji2960]Hahaha hebu nitupie hiyo picha kule kwa waziri mkuu kwanza nione
Angalia kwenye replies zangu.Wapi tena huko heading inasomekaje
Usiniambie bado hujaona uzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapi tena huko heading inasomekaje
asee ulijuaje? kalikuwa ni kaSamurai lakini.Pole mkuu[emoji38][emoji38]
Ni suzuki Maruti....????