Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Heheheh ukisema wewe si mrembo ina maana macho yangu hayajatambua ule urembo wako na umbile lenye tashiwishi[emoji76] nahisi utakuwa unamkufuru mungu dear! I have seen your beauty siwezi kukupamba bure tu!

Yatakayojiri itakuwa ni siri yetu mimi na wewe ila ni mambo ambayo yanahusisha uwepo wa roho mtakatifu so wala usijali.
Mmhh umeniona wapi tena mkuu

Au una ka id kengine

Haha huyo roho mtakatifu unayemuongelea wewe nina mashaka naye
 
20210730_133746.jpg
 
Back
Top Bottom