Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Mwanaume huwa inasumbua sana, wanahisi unakamuliwa mahali na mtoto wa kike 😀 😀 😀Ni kweli kuna umri ukifika inabidi mtu ujitahidi uwe umejenga walau nyumba ya kawaida
Ila siyo kwa pressure za ndugu na jamaa
Imagine mtu unashawishiwa ujenge eti sijui ili ukifa usije kutia aibu hata hawajui mtu ako na malengo gani
RelaxHii imekuwa vita kubwa sana home, wanalalamika naishi kama ndege.. wamekomaa nijenge miaka na miaka.. kila nikiangalia nyumba ya ndoto yangu nakausha tu, hadi nipate hiyo pesa na ilo eneo ndio nitajenga nisipopata aisee watanisamehe
Kumbe si mbali.Nishatoka tanga saa 12:30 jioni pale mkwakwani stadium saa 5 kasoro niko dar,but wakati wa kwenda nilitumia masaa kama 6 au 7 sbb ilikua mchana wazee tochi
Sikai kwetu mkuu 😀😀Relax
Yesu mwenyewe yupo Mbinguni kwa baba yake miaka nenda miaka rudi.
Wasikupe presha.
Oh sawaSikai kwetu mkuu 😀😀
Nioneshe mahala kwenye Bible panaonesha alijenga ama hakujenga ?Oh sawa
Ila target yangu ilikuwa kwenye kujenga.
Kwamba hata Yesu mwenyewe hajajenga.
Nina rafiki yangu alikuwa na Maruti, baadae akahamia kwwnye kisamurai....[emoji38][emoji38]asee ulijuaje? kalikuwa ni kaSamurai lakini.
Sina mahala pa kuonyesha ila najua yupo nyumbani kwa Baba yake.Nioneshe mahala kwenye Bible panaonesha alijenga ama hakujenga ?
Kama hakuna ni vyema kuto muhusisha na hilo
Sikwaziki ila nashangaa tu.. Haya mambo ndio yanafanya wakristo waonekane comedian 😀 😀 😀 wanaposhindwa defend hoja zaoSina mahala pa kuonyesha ila najua yupo nyumbani kwa Baba yake.
Sorry kama nitakuwa nimekukwaza kwa namna moja ama nyingine.
Tufunge mjadala.
Sikuleta kwa lengo la kujadili ukristo.Sikwaziki ila nashangaa tu.. Haya mambo ndio yanafanya wakristo waonekane comedian 😀 😀 😀 wanaposhindwa defend hoja zao
Haukuwa na haja ya kuleta maana havikuwa vinaendana na mada pia za kutokuje na YesuSikuleta kwa lengo la kujadili ukristo.
Nilileta tu kuhusianisha na mada inayojadiliwa.
Nikianza kudefend nitaanzisha mada mpya ya kujadili Biblia ndani ya uzi..kitu ambacho sitaki kukifanya hapa.
Kabisa broMbagala hii...
Ndiyo maana nikaomba radhi.Haukuwa na haja ya kuleta maana havikuwa vinaendana na mada pia za kutokuje na Yesu
Ina mkeka mzuri sana inafanyiwa ukarabati, sema nije na korosho kilo ngapi?Sijapita hio njia zaidi ya miaka mitano sasa
5w30 kwa gari zenye low mileage, 5w40 kwa gari aged kidogo.Sina uzoefu wa gari za turbo, engine oil ipi nzuri unaweza recomend kwa gari za turbo ? hasa za ulaya, kuna wanao sema ni vizuri kutumia 5w 30 kwasababu ni nyembamba haiwezi ziba kwenye turbo, na wengine wanasema 15 w 40 kwakua mazingira yetu yana joto. kwa uzoefu wako ipi inafaa
😃😃Tanga Beach kuna bend leo, Tanga pazuri ndo usiombe mchelemchele kama wote, ukitaka utulivu nenda Mkonge au pale Lulu Image ukale samaki aliyevuliwa usiku huu😃😃 Huku ukisindikizwa na mziki mtamu.Leo mji WA Tanga umechangamka balaa!
low mile zinaishia ngapi ? na aged kidogo huanzia km ngapi5w30 kwa gari zenye low mileage, 5w40 kwa gari aged kidogo.
Nipo Tanga beach. Kuko vizuri sana😃😃Tanga Beach kuna bend leo, Tanga pazuri ndo usiombe mchelemchele kama wote, ukitaka utulivu nenda Mkonge au pale Lulu Image ukale samaki aliyevuliwa usiku huu😃😃 Huku ukisindikizwa na mziki mtamu.
Tanga hatareee