Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Mwanaume huwa inasumbua sana, wanahisi unakamuliwa mahali na mtoto wa kike 😀 😀 😀Ni kweli kuna umri ukifika inabidi mtu ujitahidi uwe umejenga walau nyumba ya kawaida
Ila siyo kwa pressure za ndugu na jamaa
Imagine mtu unashawishiwa ujenge eti sijui ili ukifa usije kutia aibu hata hawajui mtu ako na malengo gani