Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ni kweli kuna umri ukifika inabidi mtu ujitahidi uwe umejenga walau nyumba ya kawaida

Ila siyo kwa pressure za ndugu na jamaa

Imagine mtu unashawishiwa ujenge eti sijui ili ukifa usije kutia aibu hata hawajui mtu ako na malengo gani
Mwanaume huwa inasumbua sana, wanahisi unakamuliwa mahali na mtoto wa kike 😀 😀 😀
 
Hii imekuwa vita kubwa sana home, wanalalamika naishi kama ndege.. wamekomaa nijenge miaka na miaka.. kila nikiangalia nyumba ya ndoto yangu nakausha tu, hadi nipate hiyo pesa na ilo eneo ndio nitajenga nisipopata aisee watanisamehe
Relax

Yesu mwenyewe yupo Mbinguni kwa baba yake miaka nenda miaka rudi.
Wasikupe presha.
 
asee ulijuaje? kalikuwa ni kaSamurai lakini.
Nina rafiki yangu alikuwa na Maruti, baadae akahamia kwwnye kisamurai....[emoji38][emoji38]
Akaja kumvuma mtu Mazda demio...

Alipokaa kwenye mazda, mkewe akamwambia.."hii sasa ndiyo gari".…[emoji38][emoji38]
Akauza Mazda, akakaa kwenye Oppa,
Akauza Oppa sasa yupo na Escudo old model..

Huwa tunamwita mla chuma...
Muogope mtu aliyeimaliza Maruti, Samurai na Landrover 109 zote hizi aliziuza kama vyuma chakavu...[emoji35][emoji35][emoji38]
 
Sikwaziki ila nashangaa tu.. Haya mambo ndio yanafanya wakristo waonekane comedian 😀 😀 😀 wanaposhindwa defend hoja zao
Sikuleta kwa lengo la kujadili ukristo.

Nilileta tu kuhusianisha na mada inayojadiliwa.

Nikianza kudefend nitaanzisha mada mpya ya kujadili Biblia ndani ya uzi..kitu ambacho sitaki kukifanya hapa.
 
Sina uzoefu wa gari za turbo, engine oil ipi nzuri unaweza recomend kwa gari za turbo ? hasa za ulaya, kuna wanao sema ni vizuri kutumia 5w 30 kwasababu ni nyembamba haiwezi ziba kwenye turbo, na wengine wanasema 15 w 40 kwakua mazingira yetu yana joto. kwa uzoefu wako ipi inafaa
5w30 kwa gari zenye low mileage, 5w40 kwa gari aged kidogo.
 
Back
Top Bottom