Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
[emoji7][emoji7][emoji7]
Tumekumiss pia Sana[emoji120].
Usipotee sana,huku jf dunia inazunguka Sana.
Tukachatie kule chitchat kilinge Cha Mshana.
Huku majadiliano yalikuwa mengi hadi tuliharibu uzi wa watu[emoji38]
Yaani mmenichekesha mweeh. Tukutane kwa Mshana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Aahh yaani tulibishana hadi tukatoka kwenye uhalisia tukaanza kufungana kamba sasa
Miss you more dada lao
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Aahh yaani tulibishana hadi tukatoka kwenye uhalisia tukaanza kufungana kamba sasa
Miss you more dada lao
Tulipata kesi ya uvamizi ,maharamia watekaji wa uzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani mmenichekesha mweeh. Tukutane kwa Mshana
Hapo mwenye gari ni kulia tu kilio cha mbuzi beberu..Huyu mwamba aliyevua shati kapewa gari aioshe baada ya kuosha jamaa kapiga Road trip kitaa kakutana na moto, nasikia nearby BOT Dom... Hawa jamaa muda mwingine ni wavuta bangi
View attachment 1877024
Mzee bima wanahusika bado.Hapo mwenye gari ni kulia tu kilio cha mbuzi beberu..
Bima hawamtambui, huo ni uzembe wa kuwaachia wahuni funguo za gari..
Aliyeangusha gari muonekano wake inaelekea hata ukimkamua kinyesi, hana...
[emoji3166][emoji51][emoji51][emoji51]
Wenye magari mjifunze kutowaachia watu funguo.Hapo mwenye gari ni kulia tu kilio cha mbuzi beberu..
Bima hawamtambui, huo ni uzembe wa kuwaachia wahuni funguo za gari..
Aliyeangusha gari muonekano wake inaelekea hata ukimkamua kinyesi, hana...
[emoji3166][emoji51][emoji51][emoji51]
Mkuu ungeiona video yake baada ya hii ajali mbavu zingekuuma[emoji23][emoji23][emoji23]Hapo mwenye gari ni kulia tu kilio cha mbuzi beberu..
Bima hawamtambui, huo ni uzembe wa kuwaachia wahuni funguo za gari..
Aliyeangusha gari muonekano wake inaelekea hata ukimkamua kinyesi, hana...
[emoji3166][emoji51][emoji51][emoji51]
Labda mmiliki awapooze askari wamuandikie ripoti itakayombeba...Mzee bima wanahusika bado.
Picha kama hilo liliyokea mtaani kwetu, jamaa aliachiwa Subaru ya askari aoshe, yeye akaingia high way, akajaza moto...Wenye magari mjifunze kutowaachia watu funguo.
Hiyo gari dah[emoji26],,halafu aliyeibamiza mwenyewe anaishangaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nacheka kama mazuri vile[emoji1787]
Kuna uzi naona wameiweka..ila kwangu imekataa kufunguka..[emoji1][emoji13]Mkuu ungeiona video yake baada ya hii ajali mbavu zingekuuma[emoji23][emoji23][emoji23]
Report kwa kigezo kipi jamani? Bado sijaelewa...Labda mmiliki awapooze askari wamuandikie ripoti itakayombeba...
Makaratasi ya polisi yanayoenda bima kama viambatanisho wakati wa madai....ila kwa mazingira hayo ni ngumu sana...Report kwa kigezo kipi jamani? Bado sijaelewa...
Nadhani Bima watahusika endapo mkata bima kwenye mkataba wa bima aliorodhesha orodha ya madereva watakaoendesha gari lake.Mzee bima wanahusika bado.
Ni sahihi, lakini mtazamo wako ume base kwenye aina gani ya bima?Nadhani Bima watahusika endapo mkata bima kwenye mkataba wa bima aliorodhesha orodha ya madereva watakaoendesha gari lake.
Pia wataangalia namna ajali ilivyotokea..kama ni uzembe wa dereva sidhani kama wanahusika.
Ni mtazamo wangu.
[emoji1787]Picha kama hilo liliyokea mtaani kwetu, jamaa aliachiwa Subaru ya askari aoshe, yeye akaingia high way, akajaza moto...
Yakatokea yaliyotokea..
Nadhani bima ya magari au vyombo vya Moto kiujumla.Ni sahihi, lakini mtazamo wako ume base kwenye aina gani ya bima?
Tuko pamoja sicy, maana coaster ya mzee ulishawahi kupiga mzinga Ikachinja watu 7, bahati ilikua na comprehensive japokua ilikua ikiendeshw na madereva tofaut tofauti lakini alilipwa.Nadhani bima ya magari au vyombo vya Moto kiujumla.
Excluded driver(ambaye si mmiliki na hayupo kwenye orodha ya madereva kwenye mkataba pale wa bima)akisababisha ajali, sidhani kama atalipwa.
Mimi nimeongelea tu kanuni za bima kwa ujumla.
Siyo mtaalamu kwenye maswala hayo na aina za bima nadhani sizijui kwa undani.
Najaribu tu kuwaza mkuu,ni mawazo Yangu ambayo hayana utaalamu wowote.
I guess Kuna vipengele.Tuko pamoja sicy, maana coaster ya mzee ulishawahi kupiga mzinga Ikachinja watu 7, bahati ilikua na comprehensive japokua ilikua ikiendeshw na madereva tofaut tofauti lakini alilipwa.
Leo nimeshinda bagamoyo siku nzima, ndio naingia home sasaHaziwezi kuisha,mtembezi hula miguu yake.