Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Unaweza kupatwa [emoji3][emoji3][emoji16]na wazimu utakapokiona cha kumalizia wakati cha kuanzia hukukiona na huku upo kwenye cruising speed ya140kmph
Hayo mambo ya Msata ~ Segera, muhimu sana kucheza na kibao cha upande wa pili pia. Ukiona upande wa pili kuna kibao cha duara af kwako kushoto hakipo tupia jicho, unakuta mwenzio ndio anaruhusiwa kuamsha sasa 50 imeisha wakati kwako hola he he he akili kumkichwa ukikaza fuvu umeliwa kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…