Mi ninayo mark 2 ila ipo kwa fundi baada ya jaribio la kubadilisha engine kuniletea sokomokoChuma hiko ninacho, marafiki wananilazimisha niwauzie,wengine niwaachie nawaambia nitauza gari zote sio hio. Inatembea jumapili tu. Naitunza hadi iwe classic
Sasa hivi hata kwa 2-4 unaipata tena kwa 4 inakuwa imesimama haswa.....Na hicho ndo kilifanya nishindwe kuuza yangu.Jinsi ninavyoimantain kwa gharama halafu soko halitambui lenyewe linarate kwenye hizo figures za 2-4mil ......bora ibaki ndani baada ya watoto woote sita wameshajua gari kwa kupitia machine hiyo naona ni bora nifuate wazo lako mpaka iwe classicSasa hivi unaweza kumvua mtu Kwa 8-9m
Kwahyo DVA ndio gari zenye uwezo 😂😂😂😂 inaweza ikawa DVA afu passoGari yenye uwezo (nimetoa kitu DVA ndio trip yake ya Kwanza hii)
Haipishani bei na Crown
Hii kwasasa hivi sifahamu. Nilimvua mtu kwa 6.5m ikiwa na mwaka mmoja.
Haipishani bei na Crown
Sasa hivi unaweza kumvua mtu Kwa 8-9m
Kama ilivyoporomoka brevisBasi crown itaporomoka tu ngoja tuvumilie miaka 5 hii
Upo Bumbuli nikutafute?Mambo double R, uliadimika hadi nikajua unachukua PhD ya karantini bin korona 😅😅
Ukifika Mombo nipigie niteremke tufanye ligi kidogo kuelekea kaskazini zaidi. Niko na manual gear DKQ 🤪.
Usiuze mkuu, Kwa miaka ya sasa hakuna sedan itakayo karibia Gx100 Kwa ugumu.Chuma hiko ninacho, marafiki wananilazimisha niwauzie,wengine niwaachie nawaambia nitauza gari zote sio hio. Inatembea jumapili tu. Naitunza hadi iwe classic
Mgagaa na Upwa umeona mwamba katumia bike kutembea 1236 km Kwa siku.Jana nimetembea km 1236, Nashukuru Mungu nimefika salama, japo nilikutana na mvua, ilinichelewesha kidogo kwa sababu ilibidi nitembee speed ya kawaida kwa saa kama moja, baada ya hapo moto mkubwa. Niliondoka saa 12.30 asubuhi, saa 11 jioni nilikuwa home tayari. Kutoa tukio la mvua I enjoyed the ride. Nasubiri tena tarehe 2 mwakani kurudi maskani ya pili. Uzuri wa bike sijasimamishwa na trafic njiani
Pole Sana mkuu.Naamini main factor Ni Hali ya hewa.Karibu tenaDuh nasikitika nilitenga siku chache kukaa Arusha! Nimepapenda
Yes. Labda ikifika E ndo tutaona upya.DVA gari ya mwezi huu huu inaonekana namba ya zamani
Duh we kiboko ,na Afya pia unayo!Jana nimetembea km 1236, Nashukuru Mungu nimefika salama, japo nilikutana na mvua, ilinichelewesha kidogo kwa sababu ilibidi nitembee speed ya kawaida kwa saa kama moja, baada ya hapo moto mkubwa. Niliondoka saa 12.30 asubuhi, saa 11 jioni nilikuwa home tayari. Kutoa tukio la mvua I enjoyed the ride. Nasubiri tena tarehe 2 mwakani kurudi maskani ya pili. Uzuri wa bike sijasimamishwa na trafic njiani
View attachment 1659347
Mnyama kasafiri km 930 amefika salama anapumua[emoji318][emoji6][emoji6][emoji2]
Usifanye kosa la kutoa 1g na kuweka 4s , utachukia gari na hautaokoa gharama zozote,Mi ninayo mark 2 ila ipo kwa fundi baada ya jaribio la kubadilisha engine kuniletea sokomoko
Usiuze mkuu, Kwa miaka ya sasa hakuna sedan itakayo karibia Gx100 Kwa ugumu.
Mwezi wa 5 mwaka huu hiyo gari tulikuwa nayo Songea,Mbinga,Namtumbo na ikaingia vijijini kwenye njia mbovu. Ikarudi mjini haijakwaangua bampa wala chini hakuna kilichokorofisha na madereva walikuwa ni zaidi ya watu 3. Tangu hapo mwenye nayo akaanza kuona umuhimu wakati mwanzo alidharau Sana hii chuma.
Mi nimetoa 1jz na kuweka 1gUsifanye kosa la kutoa 1g na kuweka 4s , utachukia gari na hautaokoa gharama zozote,