Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Sasa hivi unaweza kumvua mtu Kwa 8-9m
Sasa hivi hata kwa 2-4 unaipata tena kwa 4 inakuwa imesimama haswa.....Na hicho ndo kilifanya nishindwe kuuza yangu.Jinsi ninavyoimantain kwa gharama halafu soko halitambui lenyewe linarate kwenye hizo figures za 2-4mil ......bora ibaki ndani baada ya watoto woote sita wameshajua gari kwa kupitia machine hiyo naona ni bora nifuate wazo lako mpaka iwe classic
 
20201226_101758.jpg

Mnyama kasafiri km 930 amefika salama anapumua🎅😉😉😃
 
Chuma hiko ninacho, marafiki wananilazimisha niwauzie,wengine niwaachie nawaambia nitauza gari zote sio hio. Inatembea jumapili tu. Naitunza hadi iwe classic
Usiuze mkuu, Kwa miaka ya sasa hakuna sedan itakayo karibia Gx100 Kwa ugumu.

Mwezi wa 5 mwaka huu hiyo gari tulikuwa nayo Songea,Mbinga,Namtumbo na ikaingia vijijini kwenye njia mbovu. Ikarudi mjini haijakwaangua bampa wala chini hakuna kilichokorofisha na madereva walikuwa ni zaidi ya watu 3. Tangu hapo mwenye nayo akaanza kuona umuhimu wakati mwanzo alidharau Sana hii chuma.
 
Jana nimetembea km 1236, Nashukuru Mungu nimefika salama, japo nilikutana na mvua, ilinichelewesha kidogo kwa sababu ilibidi nitembee speed ya kawaida kwa saa kama moja, baada ya hapo moto mkubwa. Niliondoka saa 12.30 asubuhi, saa 11 jioni nilikuwa home tayari. Kutoa tukio la mvua I enjoyed the ride. Nasubiri tena tarehe 2 mwakani kurudi maskani ya pili. Uzuri wa bike sijasimamishwa na trafic njiani
Mgagaa na Upwa umeona mwamba katumia bike kutembea 1236 km Kwa siku.
 
Jana nimetembea km 1236, Nashukuru Mungu nimefika salama, japo nilikutana na mvua, ilinichelewesha kidogo kwa sababu ilibidi nitembee speed ya kawaida kwa saa kama moja, baada ya hapo moto mkubwa. Niliondoka saa 12.30 asubuhi, saa 11 jioni nilikuwa home tayari. Kutoa tukio la mvua I enjoyed the ride. Nasubiri tena tarehe 2 mwakani kurudi maskani ya pili. Uzuri wa bike sijasimamishwa na trafic njiani
Duh we kiboko ,na Afya pia unayo!
 
Gx 100 iko vyema niliwahi safiri nayo 2018 mara tatu ya brother wangu Dar-Songe,Songe-Iringa halafu tukaenda Iringa-Dom-Dar .

Iko vyema sana..sema jamaa alipiga nayo mzinga alivyorekebisha akauza.

Back
Top Bottom