mtongwe
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,652
- 4,468
Mi ninayo mark 2 ila ipo kwa fundi baada ya jaribio la kubadilisha engine kuniletea sokomokoChuma hiko ninacho, marafiki wananilazimisha niwauzie,wengine niwaachie nawaambia nitauza gari zote sio hio. Inatembea jumapili tu. Naitunza hadi iwe classic