Tuambie kilichokufurahisha na sisi tufurahi.ππ
πππ vipo vyote safari kesho tuItapigwa..
Ubuyu wa Zanzibar wenye pilipili na eet sum more visisahaulike ..
Flash yenye sweet melodies isisahaulike
Kula kwenye 5* hotels niambie mapema nibebe makande yangu π
Angalizo: Sio Audi hio πChilita nafasi yako hii
mwali mpya huyu namtoa mafua jioni hii to sehemu flani hivi
View attachment 1890924
hii tunaenda ki stuff ππAngalizo: Sio Audi hio π
HeheChilita nafasi yako hii
mwali mpya huyu namtoa mafua jioni hii to sehemu flani hivi
View attachment 1890924
Mnanishawishi kuanzisha kampuni ya "escorts".Hehe
Kwa hapo hivi inaruhusiwa kimguu kufika kwenye dashiB?
Ni full tinted? Ni full kujiachia au?
Hebu weka D tuitest kidogo [emoji23]
dah! escort ya kazi gani mieAnzisha tu. Wateja wapo kina Holy Man
huku umevaa kimini lakini ππHehe
Kwa hapo hivi inaruhusiwa kimguu kufika kwenye dashiB?
Ni full tinted? Ni full kujiachia au?
Hebu weka D tuitest kidogo π
ππππ hujakoseaAudi iko mlimani city ππ
Tulikuwa na Extrovert tunapata kahawa.. pia gari toka asubuhi ilikuwa hapo ππNimetoka hapo sasa hivi.....
Pale kuna samaki wazuri na wanono, ni namna yako tu ya kutupia nanga katika kina kizuri na kirefu cha maji πMabaharia mmekutana
πππ hao samaki mabaharia tunaanza kuwaangalia wakiwa wanaogelea kuja hapo wakipita maskani yetu nyuma ya mitaa ya 5NPale kuna samaki wazuri na wanono, ni namna yako tu ya kutupia nanga katika kina kizuri na kirefu cha maji π
mkuu natoka samaki samaki sasa naenda morogoro mala moja.. nishavua samaki mnono ππ hana mwiba ni minofu tuπππ hao samaki mabaharia tunaanza kuwaangalia wakiwa wanaogelea kuja hapo wakipita maskani yetu nyuma ya mitaa ya 5N
Mvuvi,uwe na safari njemamkuu natoka samaki samaki sasa naenda morogoro mala moja.. nishavua samaki mnono ππ hana mwiba ni minofu tu