Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Tuambie kilichokufurahisha na sisi tufurahi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuambie kilichokufurahisha na sisi tufurahi.
😎😎😎 vipo vyote safari kesho tuItapigwa..
Ubuyu wa Zanzibar wenye pilipili na eet sum more visisahaulike ..
Flash yenye sweet melodies isisahaulike
Kula kwenye 5* hotels niambie mapema nibebe makande yangu 😂
Angalizo: Sio Audi hio 😎Chilita nafasi yako hii
mwali mpya huyu namtoa mafua jioni hii to sehemu flani hivi
View attachment 1890924
hii tunaenda ki stuff 😎😎Angalizo: Sio Audi hio 😎
HeheChilita nafasi yako hii
mwali mpya huyu namtoa mafua jioni hii to sehemu flani hivi
View attachment 1890924
Mnanishawishi kuanzisha kampuni ya "escorts".Hehe
Kwa hapo hivi inaruhusiwa kimguu kufika kwenye dashiB?
Ni full tinted? Ni full kujiachia au?
Hebu weka D tuitest kidogo [emoji23]
dah! escort ya kazi gani mieAnzisha tu. Wateja wapo kina Holy Man
huku umevaa kimini lakini 😎😎Hehe
Kwa hapo hivi inaruhusiwa kimguu kufika kwenye dashiB?
Ni full tinted? Ni full kujiachia au?
Hebu weka D tuitest kidogo 😂
😁😁😁😁 hujakoseaAudi iko mlimani city 😎😎
Tulikuwa na Extrovert tunapata kahawa.. pia gari toka asubuhi ilikuwa hapo 😎😎Nimetoka hapo sasa hivi.....
Pale kuna samaki wazuri na wanono, ni namna yako tu ya kutupia nanga katika kina kizuri na kirefu cha maji 😎Mabaharia mmekutana
😂😂😂 hao samaki mabaharia tunaanza kuwaangalia wakiwa wanaogelea kuja hapo wakipita maskani yetu nyuma ya mitaa ya 5NPale kuna samaki wazuri na wanono, ni namna yako tu ya kutupia nanga katika kina kizuri na kirefu cha maji 😎
mkuu natoka samaki samaki sasa naenda morogoro mala moja.. nishavua samaki mnono 😎😎 hana mwiba ni minofu tu😂😂😂 hao samaki mabaharia tunaanza kuwaangalia wakiwa wanaogelea kuja hapo wakipita maskani yetu nyuma ya mitaa ya 5N
Mvuvi,uwe na safari njemamkuu natoka samaki samaki sasa naenda morogoro mala moja.. nishavua samaki mnono 😎😎 hana mwiba ni minofu tu