mwendazake-ndago
Member
- May 26, 2021
- 96
- 723
Mjapani sio kama mkatili. mjapan anatengeneza gari kwaajili ya african market na european market and american market ila kwa marekani sio saana. gari za mjapani kwa soko la ulaya zina speed 280. kwa soko lafrica na barabara zetu 180 wanaona inatutosha. Ndio maana ukiona RAV ya soko la ulaya na soko la africa rav 4 hio hio the same kabisa ukienda kwenda dashboard unakuta ya africa 180 na ya ulaya 240Gari za mzungu nyingi sana zina 280, 300kmh kawaida sanaaa.. mjapan ni mkatili tu
mbona wanipandisha midadi sasa hii utasabisha mtu agonge mti bila kujua 😁😁Vipo bana. Hebu tulia View attachment 1895014
😍 dats whats up roni! Hii ndio mambo itafanya trip kuwa excitingVipo bana. Hebu tulia View attachment 1895014
Baharia uko mshap sana 😂mbona wanipandisha midadi sasa hii utasabisha mtu agonge mti bila kujua 😁😁
🤣🤣🤣😍 dats whats up roni! Hii ndio mambo itafanya trip kuwa exciting
ni kweli, nilishatumia corola la canada ni shidaa lile gari nilichakazaga barabarani kama sina akili nzuriMjapani sio kama mkatili. mjapan anatengeneza gari kwaajili ya african market na european market and american market ila kwa marekani sio saana. gari za mjapani kwa soko la ulaya zina speed 280. kwa soko lafrica na barabara zetu 180 wanaona inatutosha. Ndio maana ukiona RAV ya soko la ulaya na soko la africa rav 4 hio hio the same kabisa ukienda kwenda dashboard unakuta ya africa 180 na ya ulaya 240
haiwezekani hili likapita hivi hivi lazima tuliweke sawa na kwa undani ile kesi isiwe kubwa sanaaa🙂🙂Baharia uko mshap sana 😂
Fanya kama hujaona kitu... Puliz
Ndio maana mie naona kuna haja ya kuwa tunanunua Lexus tu! Zina hizo burudani zote hasa F-Sport Models zile yani ukiweza pata ile GS350 ya F-Sport Twin turbo V8 inakamua 280 on dash like a joke! Inatembea sana with 450HP+Mjapani sio kama mkatili. mjapan anatengeneza gari kwaajili ya african market na european market and american market ila kwa marekani sio saana. gari za mjapani kwa soko la ulaya zina speed 280. kwa soko lafrica na barabara zetu 180 wanaona inatutosha. Ndio maana ukiona RAV ya soko la ulaya na soko la africa rav 4 hio hio the same kabisa ukienda kwenda dashboard unakuta ya africa 180 na ya ulaya 240
Nina kesi gani tena? 😂haiwezekani hili likapita hivi hivi lazima tuliweke sawa na kwa undani ile kesi isiwe kubwa sanaaa🙂🙂
ukifika mahakani ndio utajua 😂😂Nina kesi gani tena? 😂
Unaweza uka engage hand brake bila kujitambua ukiangalia amali kama hiyo.haiwezekani hili likapita hivi hivi lazima tuliweke sawa na kwa undani ile kesi isiwe kubwa sanaaa🙂🙂
Hii huwa tuna haribu gari kati ya pori alafu alafu kinacho endelea ITV 😂😂😂 yanafatia matangazo ya biashara mwanzo mwishoUnaweza uka engage hand brake bila kujitambua ukiangalia amali kama hiyo.
Hebu nifafanulieukifika mahakani ndio utajua 😂😂
😎😎😎😎😎Hebu nifafanulie
Scion XANilipiga picha hii marekani nilivyoiona hii IST. Ila cha kushangaza yenyewe haiitwi IST kule marekani ila ni vile vile na speed ni 240View attachment 1895028
Kipande cha kufutia machozi hiki baada ya kero za foleni
Gari ya automatic ikizima kwenye gear au ikikataa kupiga kwa zile za zamani kuna ambazo option pekee ya kuhamisha gear kupeleka neutral au kokote unabonya button ya shift lock ndio inaruhusu atleast ndio hicho kitu naelewaShift lock ina kazi gani kweye eneo la gia kwa gari zetu zisizo na four wheel.na nikiwasha dashboard inaishara yeyote kama nimeigusa.
Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
HahaaaKipande cha kufutia machozi hiki baada ya kero za foleni