mwendazake-ndago
Member
- May 26, 2021
- 96
- 723
Mjapani sio kama mkatili. mjapan anatengeneza gari kwaajili ya african market na european market and american market ila kwa marekani sio saana. gari za mjapani kwa soko la ulaya zina speed 280. kwa soko lafrica na barabara zetu 180 wanaona inatutosha. Ndio maana ukiona RAV ya soko la ulaya na soko la africa rav 4 hio hio the same kabisa ukienda kwenda dashboard unakuta ya africa 180 na ya ulaya 240Gari za mzungu nyingi sana zina 280, 300kmh kawaida sanaaa.. mjapan ni mkatili tu
