Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Gari za mzungu nyingi sana zina 280, 300kmh kawaida sanaaa.. mjapan ni mkatili tu
Mjapani sio kama mkatili. mjapan anatengeneza gari kwaajili ya african market na european market and american market ila kwa marekani sio saana. gari za mjapani kwa soko la ulaya zina speed 280. kwa soko lafrica na barabara zetu 180 wanaona inatutosha. Ndio maana ukiona RAV ya soko la ulaya na soko la africa rav 4 hio hio the same kabisa ukienda kwenda dashboard unakuta ya africa 180 na ya ulaya 240
 
ni kweli, nilishatumia corola la canada ni shidaa lile gari nilichakazaga barabarani kama sina akili nzuri
 
Mjapani sio kama mkatili. mjapan anatengeneza gari kwaajili ya african market na european market and american market ila kwa marekani sio saana. gari za mjapani kwa soko la ulaya zina speed 280. kwa soko lafrica na barabara zetu 180 wanaona inatutosha. Ndio maana ukiona RAV ya soko la ulaya na soko la africa rav 4 hio hio the same kabisa ukienda kwenda dashboard unakuta ya africa 180 na ya ulaya 240
Ndio maana mie naona kuna haja ya kuwa tunanunua Lexus tu! Zina hizo burudani zote hasa F-Sport Models zile yani ukiweza pata ile GS350 ya F-Sport Twin turbo V8 inakamua 280 on dash like a joke! Inatembea sana with 450HP+
 
Nilipiga picha hii marekani nilivyoiona hii IST. Ila cha kushangaza yenyewe haiitwi IST kule marekani ila ni vile vile na speed ni 240 20170606_030913.JPG
 
Shift lock ina kazi gani kweye eneo la gia kwa gari zetu zisizo na four wheel.na nikiwasha dashboard inaishara yeyote kama nimeigusa.

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Gari ya automatic ikizima kwenye gear au ikikataa kupiga kwa zile za zamani kuna ambazo option pekee ya kuhamisha gear kupeleka neutral au kokote unabonya button ya shift lock ndio inaruhusu atleast ndio hicho kitu naelewa
 
Back
Top Bottom