Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Tandale mnapanda za wapi? Au unatuleta na wewe?

Me naijua ile ya pale magomeni kanisani inaingia kwa ndani huko.

Kuna watu wanaijua Daslam sana, nina rafiki angu anajua chocho hatari. Kwanza Dar humtoi, anakwambia nikitoka nje ya Dar nitapauka.
Tandale sijui hata ipo wapi[emoji23] nimeitaja tu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
😁😁 inabidi tukurudishe Dom.

Mimi kkoo? Napotea jua linawaka, inakuwa sio kupotea kabisa ila kuzunguka kutafuta uendapo kunakuwa kumezidi.

Utapajuaje Tandika na mtoto upo mitaa ya chole road huko? Ila Tandika kunakufaa sana wee mshona magauni ya kanisani.
 
[emoji38] Dom nilirudi December ila niliishia kuzunguka milembe majengo mapya.


Sasa wewe kkoo utahangaika kutafuta uendapo,mimi hata niendapo sipajui[emoji23]
Wanaoniambia niende nitatumia Google map hawanitakii mema.


Siku hizi nimepunguza vitenge.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kariakoo sipotei hata robo

Jana nimeenda kwa mtogole nilipata tabu sana
Kilichotokea ni kuita Bolt kabla hawajanikwapua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…